M24 Headquarters-Kigali JF-Expert Member Joined Jul 9, 2012 Posts 8,199 Reaction score 8,186 Feb 8, 2025 #1 1. Majengo ya Makao Makuu - AU Addis Ababa (Msaada toka China). EAC, Arusha (Msaada toka Ujerumani). 2. Bajeti zaidi ya 60% kutoka kwa wafadhili (hususani EU, huku wanachama wakisuasua kutoa ada kila mwaka).
1. Majengo ya Makao Makuu - AU Addis Ababa (Msaada toka China). EAC, Arusha (Msaada toka Ujerumani). 2. Bajeti zaidi ya 60% kutoka kwa wafadhili (hususani EU, huku wanachama wakisuasua kutoa ada kila mwaka).
Pulchra Animo JF-Expert Member Joined Jun 16, 2016 Posts 3,718 Reaction score 3,465 Feb 8, 2025 #2 M24 Headquarters-Kigali said: 1. Majengo ya Makao Makuu - AU Addis Ababa (Msaada toka China). EAC, Arusha (Msaada toka Ujerumani). 2. Bajeti zaidi ya 60% kutoka kwa wafadhili (hususani EU, huku wanachama wakisuasua kutoa ada kila mwaka). Click to expand... Hizo organizations kimsingi ni useless. Manufaa yake makubwa ni ajira kwa wateule wachache!
M24 Headquarters-Kigali said: 1. Majengo ya Makao Makuu - AU Addis Ababa (Msaada toka China). EAC, Arusha (Msaada toka Ujerumani). 2. Bajeti zaidi ya 60% kutoka kwa wafadhili (hususani EU, huku wanachama wakisuasua kutoa ada kila mwaka). Click to expand... Hizo organizations kimsingi ni useless. Manufaa yake makubwa ni ajira kwa wateule wachache!
Tanganian JF-Expert Member Joined Jan 27, 2025 Posts 999 Reaction score 1,898 Feb 8, 2025 #3 Wafute tu zote maana hazina manufaa zaidi kuwanufaisha wanaokariri kingereza.
M24 Headquarters-Kigali JF-Expert Member Joined Jul 9, 2012 Posts 8,199 Reaction score 8,186 Feb 8, 2025 Thread starter #4 Tanganian said: Wafute tu zote maana hazina manufaa zaidi kuwanufaisha wanaokariri kingereza. Click to expand... Pole
Tanganian said: Wafute tu zote maana hazina manufaa zaidi kuwanufaisha wanaokariri kingereza. Click to expand... Pole