Yuan ya Uchina imesaidia kufadhili mashine ya biashara na vita ya Urusi - lakini siku hizo zinaweza kuwa zinaelekea ukingoni.
Vikwazo vya Nchi za Magharibi vimeifungia Urusi nje ya mfumo mkuu wa kifedha wa kimataifa unaotawala dola maarufu kama (SWIFT) lakini nchi hiyo imeweza kustahimili vishindo vya vikwazo wakati huu wa vita kutokana na Yuan ya Uchina.
www.businessinsider.com

The Chinese yuan has helped fund Russia's trade and war machine — but those days may be numbered
Russia is looking into alternative payments infrastructure — which a top Russian banker said should be made a "state secret."