Ana umwamba Gani?? Sitamsahau mrusi Hadi nakufa.Vikwazo zaidi ya elf 10 lakini mwamba anagawa dose kama kawaida mkiambiwa Russia sio Zimbabwe muelewe
Uganda ilipewa ndege aina ya Tupolev na Gaddafi na sio MrusiAna umwamba Gani?? Sitamsahau mrusi Hadi nakufa.
Umesha Sahau mrusi alivyotaka kuiendeleza vita yetu na Uganda Ili auze Silaha zake!
Au ulikuwa mdogo zama hizo??
Alimuuzia Uganda Ndege vita! Na kutuuzia sisi anti aircraft shoulder misiles(streiler)
Tulitumia Yale mabomu yakaisha na akakataa kutupa Kwa mkopo ila Kwa hard cash au tukubaliane naye Mikataba migumu ya muda mrefu!
Kukosoa busara ya Mchonga meno Kuomba msaada wa hizo Silaha Toka Algeria na Msumbiji vita ingekuwa ngumu na Endelevu!
Nakumbuka kipindi mrusi anatuwekea ngumu Ndege vita za Uganda zilikuwa zinatamba Mwanza na visiwa vya saa.8!
Halafu rejea yaliyo mkuta Comred Samora Moses Machel!; baada ya kuona mrusi anazoa Mali asili za Msumbiji!; Akaingia mikataba ya Ulinzi na westeners!View attachment 3045581View attachment 3045582
Inawezekana sio kosa lako ulikuwa Bado unanyonya au hujazaliwa zama hizi!
Kama ulikuwa front kumbuka mig fighters tulizo ziteka mrusi alizi-fault Kila ikitake-of inalipuka angani😭😭😭Uganda ilipewa ndege aina ya Tupolev na Gaddafi na sio Mrusi
Tafuta mkalimani akusaidie tafsiri ya kilichoandikwa.Vikwazo zaidi ya elf 10 lakini mwamba anagawa dose kama kawaida mkiambiwa Russia sio Zimbabwe muelewe
Yaani unalalama kuuziwa cash,unampangia mtu namna ya kufanya biashara!?..una uhakika samora alibutuliwa na Soviet na si kaburu?Ana umwamba Gani?? Sitamsahau mrusi Hadi nakufa.
Umesha Sahau mrusi alivyotaka kuiendeleza vita yetu na Uganda Ili auze Silaha zake!
Au ulikuwa mdogo zama hizo??
Alimuuzia Uganda Ndege vita! Na kutuuzia sisi anti aircraft shoulder misiles(streiler)
Tulitumia Yale mabomu yakaisha na akakataa kutupa Kwa mkopo ila Kwa hard cash au tukubaliane naye Mikataba migumu ya muda mrefu!
Kukosoa busara ya Mchonga meno Kuomba msaada wa hizo Silaha Toka Algeria na Msumbiji vita ingekuwa ngumu na Endelevu!
Nakumbuka kipindi mrusi anatuwekea ngumu Ndege vita za Uganda zilikuwa zinatamba Mwanza na visiwa vya saa.8!
Halafu rejea yaliyo mkuta Comred Samora Moses Machel!; baada ya kuona mrusi anazoa Mali asili za Msumbiji!; Akaingia mikataba ya Ulinzi na westeners!View attachment 3045581View attachment 3045582
Inawezekana sio kosa lako ulikuwa Bado unanyonya au hujazaliwa zama hizi!
"The mysterious death of Samora Machel, by Augusta Conchiglia (Le Monde diplomatique - English edition, November 2017)" The mysterious death of Samora MachelAna umwamba Gani?? Sitamsahau mrusi Hadi nakufa.
Umesha Sahau mrusi alivyotaka kuiendeleza vita yetu na Uganda Ili auze Silaha zake!
Au ulikuwa mdogo zama hizo??
Alimuuzia Uganda Ndege vita! Na kutuuzia sisi anti aircraft shoulder misiles(streiler)
Tulitumia Yale mabomu yakaisha na akakataa kutupa Kwa mkopo ila Kwa hard cash au tukubaliane naye Mikataba migumu ya muda mrefu!
Kukosoa busara ya Mchonga meno Kuomba msaada wa hizo Silaha Toka Algeria na Msumbiji vita ingekuwa ngumu na Endelevu!
Nakumbuka kipindi mrusi anatuwekea ngumu Ndege vita za Uganda zilikuwa zinatamba Mwanza na visiwa vya saa.8!
Halafu rejea yaliyo mkuta Comred Samora Moses Machel!; baada ya kuona mrusi anazoa Mali asili za Msumbiji!; Akaingia mikataba ya Ulinzi na westeners!View attachment 3045581View attachment 3045582
Inawezekana sio kosa lako ulikuwa Bado unanyonya au hujazaliwa zama hizi!
upeo wenu mfupi ndo mtaji wa wenye akili , mtu akijua adui yako ni shabani anakufanyia lolote akiamin lawama zjnaenda kwa shababniYaani unalalama kuuziwa cash,unampangia mtu namna ya kufanya biashara!?..una uhakika samora alibutuliwa na Soviet na si kaburu?