MchunguZI
Platinum Member
- Jun 14, 2008
- 4,048
- 2,239
Nimeiangukia taarifa hii nikaidaunilod ingawa haitafutika kiurahisi. Ina maelezo yanayoshawishi kutoa mwanga wa nini kinaendelea ktk nchi. Kwa ufupi kinara ni Kikwete. Hata hivyo humuondoi Samia maana yeye ndo mwenye amri.
Ukijumulisha na maelezo ya Balozi Polepole, huwezi kuwaondoa marafiki wa Kikwete, wakiongozwa na Rostam. sasa hivi hajulikani alipo. Muhimu sana tuambiwe jeshi la mauaji kamanda ni nani?
Ingia hapa:
View: https://www.youtube.com/watch?v=F6fI9bgdffU