A very painful reality!Nimeiangukia taarifa hii nikaidaunilod ingawa haitafutika kiurahisi. Ina maelezo yanayoshawishi kutoa mwanga wa nini kinaendelea ktk nchi. Kwa ufupi kinara ni Kikwete. Hata hivyo humuondoi Samia maana yeye ndo mwenye amri.
Ukijumulisha na maelezo ya Balozi Polepole, huwezi kuwaondoa marafiki wa Kikwete, wakiongozwa na Rostam. sasa hivi hajulikani alipo. Muhimu sana tuambiwe jeshi la mauaji kamanda ni nani?
Ingia hapa:
View: https://www.youtube.com/watch?v=F6fI9bgdffU
Baada ya Magufuli kufariki, Samia ndiye aliapishwa kuwa rais. Huwezi kupeleka lawama kwa mtu mwingine yeyote isipokuwa kwake. Sisi hatumjui Kikwete wala Rostam wala nani....Nimeiangukia taarifa hii nikaidaunilod ingawa haitafutika kiurahisi. Ina maelezo yanayoshawishi kutoa mwanga wa nini kinaendelea ktk nchi. Kwa ufupi kinara ni Kikwete. Hata hivyo humuondoi Samia maana yeye ndo mwenye amri.
Ukijumulisha na maelezo ya Balozi Polepole, huwezi kuwaondoa marafiki wa Kikwete, wakiongozwa na Rostam. sasa hivi hajulikani alipo. Muhimu sana tuambiwe jeshi la mauaji kamanda ni nani?
Ingia hapa:
View: https://www.youtube.com/watch?v=F6fI9bgdffU
Wanatuona mabozozo kabisa. Sasa mambo yanaanza kujidhihirisha.Watekaji ni wachochezi ambao sasa hivi wanatuonyesha machozi ya mamba!
Wameratibu vurugu zote ili kuleta sintofahamu nchini, and now they play THE VICTIM!
Mkuu dadavua hapa tuoneMr.Haji Omary Kheir,a former head of zombie military gang based in Zanzibar.
Njaa kaya mjanja sana! Gunia la misumari linaenda kumuangukia mtu mwingine yeye akipona!Baada ya Magufuli kufariki, Samia ndiye aliapishwa kuwa rais. Huwezi kupeleka lawama kwa mtu mwingine yeyote isipokuwa kwake. Sisi hatumjui Kikwete wala Rostam wala nani....
Ni nani alieyetoa amri ya kuua watu, hao wandaamanaji au wafanya vurugu walikuwa na silaha? Hakukuwa na namna nyingine zaidi ya kuwaua? Hao waliokuwa majumbani au waliokuwa na shughuli zao kisha wakapigwa Risasi walikuwa wanaganya vurugu ipi? Msilaumu watu kuandamana ni haki yao kikatiba, mnapswa kulaumu waliotoa amri watu wauawawe.Watekaji ni wachochezi ambao sasa hivi wanatuonyesha machozi ya mamba!
Wameratibu vurugu zote ili kuleta sintofahamu nchini, and now they play THE VICTIM!
... hauwezi kuloga mchana!Ni nani alieyetoa amri ya kuua watu, hao wandaamanaji au wafanya vurugu walikuwa na silaha? Hakukuwa na namna nyingine zaidi ya kuwaua? Hao waliokuwa majumbani au waliokuwa na shughuli zao kisha wakapigwa Risasi walikuwa wanaganya vurugu ipi? Msilaumu watu kuandamana ni haki yao kikatiba, mnapswa kulaumu waliotoa amri watu wauawawe.