mkaskaz
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 707
- 969
Hivi hii nchi ina Mkuu wa Polisi kweli? Mkuu wa Majeshi ya ulinzi je, yupo? Mkuu wa Usalama wa Taifa? Au hawajaapishwa kuanza majukumu bado? Inawezekanaje watu wanapotea, kuteswa na kuuwawa na ninyi mpo? Au silaha zenu ni duni kuliko hao watekaji? Au na ninyi mnahusika kwenye huu utekaji wa raia unaondelea Tanzania bara? Kama ndiyo, hiyo ndiyo kazi mliyoapa kuifanya?
Ni wazi kwamba Tanzania haiko salama. Ukimya wa wakuu wote wa vyombo vya ulinzi ni uthibitisho tosha kwamba hali ni tete. Mwenyezi Mungu atusaidie, Aaamin.
Ni wazi kwamba Tanzania haiko salama. Ukimya wa wakuu wote wa vyombo vya ulinzi ni uthibitisho tosha kwamba hali ni tete. Mwenyezi Mungu atusaidie, Aaamin.