BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Ni kweli kuna utekaji nchi hii ila ukisikiliza simulizi nyinhi za mashuhuda utakubaliana na mimi kwamba ukondooo wa Watanzania una play part kubwa sana huenda nusu yake.
Ukisikiliza shuhuda ni kwamba walikuja watu wakajitambulisha kwamba wao ni Polisi na wakaondoka na fulani, tukawaomba vitambulisho wakagoma kutoa na kuondoka na fulani.
Ukondoo wetu una changia sana utekaji na huenda hata watekaji huwa kinacho wapa nguvu niwanajua kwamba wabongo ni makondoo sana.
Wote tunakumbuka enzi za Magu kule Tarime kitu yule Peter Zakaria alicho wafanyia wasio julikana na mmoja wa wasio julikana hadi leo ni kilema kabisa aliharibiwa nyonga mazima.
Ule ni mfano mzuri sana alio uonyesha Peter Zakari tajiri wa kule Tarime, na wasio julikana hawatajaribu tena kwenda kumkamata kijinga jinga.
Tulipo fikia ni kutembea hata na mishale na mikuki, ili akama mtu unatekwa basi watekaji na wao wakasimulie , tusikubali kiwango hiki cha ukondoo, tutekwe yes ila baada ya mapambano makali sana.
Au mwenzetu anatekwa sisi tuna muangalia kisa tunawaogopa watekaji.
Walio enda kumteka Peter Zakaria walienda na Silaha wa ila jamaa alikomaa nao na hawatasahau milele.
Tutembee hata na silaha za jadi ambazo ni rajhisi na hazihitaji usajili tusitekwe kizembe sana kiasi hiki.
Mwisho kama mahakamani hakuna haki, watawala wanapuuza utekaji basi Model ya South Africa inaweza tusaidia sana, Street Justice.
Pia soma

- Kuelekea 2025 - Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atoa majibu ya matukio ya kupotea na utekaji watu yanaendelea Nchini
- Freeman Mbowe: Viongozi wa CHADEMA na Watanzania wasio na Vyama wanaoendelea kutekwa na Vyombo vya Usalama vya Nchi yetu
- Tamko la Masauni Waziri wa Mambo ya Ndani kuhusu madai ya kusambaa kwa matukio ya utekaji wa Watoto, asema Nchi ipo salama