Utekaji nchi hii unachagizwa na ukondoo wa Watanzania

Utekaji nchi hii unachagizwa na ukondoo wa Watanzania

Hiki kizazi cha sasa cha wabongo kimetumika sana "kuwainua" wachache. Vitabu vya historia ya TZ miaka 100 ijayo, watu watakua wanacheka sana wakivisoma. Hawataamini kuna generation mbumbumbu kama hii iliwahi kuexist
 
Back
Top Bottom