dictson JF-Expert Member Joined Apr 17, 2014 Posts 257 Reaction score 557 Dec 1, 2024 #21 Hiki kizazi cha sasa cha wabongo kimetumika sana "kuwainua" wachache. Vitabu vya historia ya TZ miaka 100 ijayo, watu watakua wanacheka sana wakivisoma. Hawataamini kuna generation mbumbumbu kama hii iliwahi kuexist
Hiki kizazi cha sasa cha wabongo kimetumika sana "kuwainua" wachache. Vitabu vya historia ya TZ miaka 100 ijayo, watu watakua wanacheka sana wakivisoma. Hawataamini kuna generation mbumbumbu kama hii iliwahi kuexist