Utekaji nyara wa vibinti na ubakaji ukalitikisa taifa la Ubelgiji………!

usiwe una sumarize sisi wengine tunazisoma hivyo hhivyo mwanzo mwisho

Umeona eh!
Pia nlishamwambiaga asituchakachulie hii mikasa, alete kama ilivyo nasi tutafuatana nae!
Wasiopenda kusoma vitu vyenye ujazo nlsema awawekee summary kwenye wall yake kule kwa profile yake!
 
baba mkwe thanks kwa habari
mwanzoni nlidhani huwa unatunga lkn hii nimegoogle nkaikuta ni kweli
Marc Dutroux - Wikipedia, the free encyclopedia
inahuzunisha sana ila ina mafunzo pia

Mikasa yote Mtambuzi huwa anasema kuwa ametoa "site" na wala hamna ambao huwa anajitangaza kuwa katunga yeye binafsi.
Kazi yake kubwa ni kutafsiri na ku-summarize kwaajili ya wavivu flani hapa jamvini. Otherwise, huwa anaweka mpaka link mfano ile stori ya "muuaji shoga", kisa cha penzi haramu la mchungaji feki na binti yake, pia stori ya scotland yard na kesi isiyokwisha ya jamaa aliyemuua mkewe bila kudhibitishwa, na ile watoto wanaotumiwa na mashetani kufanya mauaji ya kikatili. Visa vyote hvyo, hamna hata kimoja Mtambuzi alisema ni chake cha kutunga!
Vipitie kwenye thread za Mtambuzi, navyo unaweza kuvi-google kwa undani zaidi.
 
Nakushukuru mkuu kwa kuliweka hilo wazi, ni kweli kabisa huwa napata PM nyingi wadau wakidadisi kwamba napata wapi hivi visa. Ukweli ni kwamba visa hivi sivipati kwenye link moja, labda niseme tu kwamba ni aghalabu sana kukutana na kesi za aina hii zikiwa kwenye link moja. Mara nyingi naweza kusoma zaidi ya link hata kumi ili kupata clear picture ya mkasa mzima.
Kwa hiyo msije mkadhani labda natunga au naweka chumvi, la hasha, huwa naperuzi mtandao kwa makini sana na kuushirikisha ubongo kutafakari ili kupata simulizi tamu lakini pia inayofundisha.
 
Ahsante Mtambuzi! Inashangaza sana jinsi binadamu anavoweza kubadilika na kuwa zaidi ya hata shetani mwenyewe! this man was evil!!!
 
Ahsante mkuu ni mkasa wa kusikitisha sana, hii inaonyesha ni jinsi gani polisi wanavyoshirikiana na wahalifu kudhulumu haki za raia wasio na hatia. Lakini pia inatuonyesha ni jinsi gani rushwa ilivyotanda katika kila kona ya dunia.
 
Back
Top Bottom