jouneGwalu
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 2,687
- 1,782
usiwe una sumarize sisi wengine tunazisoma hivyo hhivyo mwanzo mwisho
baba mkwe thanks kwa habari
mwanzoni nlidhani huwa unatunga lkn hii nimegoogle nkaikuta ni kweli
Marc Dutroux - Wikipedia, the free encyclopedia
inahuzunisha sana ila ina mafunzo pia
Nakushukuru mkuu kwa kuliweka hilo wazi, ni kweli kabisa huwa napata PM nyingi wadau wakidadisi kwamba napata wapi hivi visa. Ukweli ni kwamba visa hivi sivipati kwenye link moja, labda niseme tu kwamba ni aghalabu sana kukutana na kesi za aina hii zikiwa kwenye link moja. Mara nyingi naweza kusoma zaidi ya link hata kumi ili kupata clear picture ya mkasa mzima.Mikasa yote Mtambuzi huwa anasema kuwa ametoa "site" na wala hamna ambao huwa anajitangaza kuwa katunga yeye binafsi.
Kazi yake kubwa ni kutafsiri na ku-summarize kwaajili ya wavivu flani hapa jamvini. Otherwise, huwa anaweka mpaka link mfano ile stori ya "muuaji shoga", kisa cha penzi haramu la mchungaji feki na binti yake, pia stori ya scotland yard na kesi isiyokwisha ya jamaa aliyemuua mkewe bila kudhibitishwa, na ile watoto wanaotumiwa na mashetani kufanya mauaji ya kikatili. Visa vyote hvyo, hamna hata kimoja Mtambuzi alisema ni chake cha kutunga!
Vipitie kwenye thread za Mtambuzi, navyo unaweza kuvi-google kwa undani zaidi.