Utekaji Tanganyika! Kumepoa kidogo au!?

Hueleweki unataka nini, watu wakitekwa kelele nyingi, wasipotekwa bado kelele nyingi. ni kama unapenda na unafurahia watu wanavyotekwa kiasi cha kuwakumbusha wahusika
Kama hujaelewa mada unaweza kuomba ukaeleweshwa kwa hekima
 
wamefunga mwezi mtukufu, ngoja mwezi uuishe kwanza
 
Hii bila shaka ni mbinu ya kuwasahaulisha wananchi waamini hali ni shwari ghafla wanaanza tena utekaji. Lakini tangu walipowaua raia siku ya MO29 naona kama hamu yao ya kuteka imepungua kidogo. Anyway, ngoja tuone. Hawa jamaa sio wa kuwaamini hata kidogo.
 
Sidhani nadhani UTEKAJI SASA BASI
 
Wamefunga
 
Wamefunga
 
Mama Shetani anajifunza mbinu mpya za utekaji
 
Wapinzani wapo wachache Sasa hamna wa kunyanyua mdomo. 😔It's very painful to see, how two kind of colonizers wanatutawala licha ya kuwa na raia wenye majoho wengi, na raia wanaoelewa umuhimu wa haki inayofuata katiba nchini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…