Utekaji Tanzania: Je Ni Ugaidi au Udikteta?

Utekaji Tanzania: Je Ni Ugaidi au Udikteta?

Kirchhoff

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
5,963
Reaction score
8,934
Kwa kuwa polisi hawahusiki, maoni yangu Utekaji huu ni Ugaidi.
Wenzangu mnasemaje?

Kitengo cha kupambana na Ugaidi kimekwama?
 
Kwa kuwa polisi hawahusiki, maoni yangu Utekaji huu ni Ugaidi.
Wenzangu mnasemaje?

Kitengo cha kupambana na Ugaidi kimekwama?
Udikteta kwa kuwa wenye mamlaka wamekuwa bubu,viziwi na vipofu..Tafsiri yangu ni udikteta uliochangamana,na ugaidi,jeuri na kibri
 
Limetumika neno Jumuishi Mkuu. Yawezekana ikawa state sponsored or even State Enemies sponsored.
Let’s be logical. Ni lini Head of State amepaza sauti kukemea abduction, torture na cold-blooded killings za raia? Haya yangekuwa sio state-sponsored, obviously, angekuwa ameshayavalia njuga kwa nguvu zake zote!
 
Nazi wengi walikufa ilipofika siku .nazi ni ccm inatoka oman
 
Back
Top Bottom