Utekaji umeanza tena? Imam Mkuu wa msikiti wa GPB Geita atekwa

"HARAKATI ZA DINI" ni kitu gani embu fafanua? Je ! Ni kuswali
Je! Ni kuulazimisha watu wasio na Imani yako waifuate dini yako kwa njia yoyote ile ?
 
Watu wa Geita wana namna yao wanayoitumia kutatua matatizo yasiyoweza kutatuliwa na Polisi. Je mnamkumbuka huyu Jike aliyeoa Jike mwenzie?
 
Fundamentalist/Islamist, hawana nafasi,hawatskiwi popote, hualibu Amani,
Political islam, and fundamental Islamist, na secural system ni kama maji na mafuta, haviwezi kukaa pamoja,
Ccm wenyewe,zenj na Bara, hawapo Tayari kuona wana harakati wa ki islam, wakikita mizizi, mtakula shaba tu, na mkae mjue, mashirika ya, kijasusi, ya USA na UK yana vijana wao wa bongo, well trained, hao kukungoa kucha hawaoni hatari.
 
Code uliyotumia hapa ni dalili unajua kinachoendelea na unadivert hoja kuitoa serikali kwenye huu uhalifu
Sijui lolote ninachojua geita hawana mchezo linapokuja swala la kuwakosea, kuna jamaa aliiba huko akakimbia wakamtafuta kama miezi mitano wakampata wilaya alioyokimbilia alikutwa kachinjwa na kukatwa katwa barua sijui ilifikaje polisi ikieleza kosa alilofanya
 

Ni taarifa kwa Waislamu tuu?
Maana kichwa hapo juu kimekaa kimkakati
 
Itakuwa kachepuka na Mke wa Mtu anasingizia kutekwa.Mama wa Kimkazi hana hayo mambo ya kijinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…