Utekaji umeanza tena? Imam Mkuu wa msikiti wa GPB Geita atekwa

TAARIFA KWA UMMA WA KIISLAMU.

Jana Tulipokea Taarifa ya kutekwa kwa Ustaadh Abdulrahmaan Imam mkuu wa msikiti Wa GPB Shell Mtaa wa Nyankumbu Mji wa Geita.

Imam Abdulrahmaan Alitekwa akiwa anatoka msikiti kuswalisha Taraweh akiwa Ameambatana na mtoto wake wakiume.

Akiwa njiani aliitwa na watu wawili waliofunika nyuso zao wakiwa wamevaa kiraia na kuzungumza naye,Inasemekana kwa mashuhuda kuwa kulitokea mzozo baina yake na wao Jambo lililopelekea Wafyatue risasi Moja hewani na kisha wakamchukua wakamuweka kwenye gari na kuondoka naye

Zimefanyika Juhudi jana kutwa nzima za kumtafuta kwenye vituo vyote vya polisi lakini hakupatikana na Hajulikani alipo mpaka mda huu.

Pamekuwepo na Wimbi kubwa sana katika mji wa Geita la vijana walio mstari wa mbele katika harakati za dini kutekwa na kupotezwa, ni wakati sasa wa kupaza sauti zetu kama umma wa kiislamu.
Unesi (nursing), ukunga (midwifery) na harakati zako za udini wapi na wapi, chagua moja, hayo mambo hayaingiliani katu
 
TAARIFA KWA UMMA WA KIISLAMU.

Jana Tulipokea Taarifa ya kutekwa kwa Ustaadh Abdulrahmaan Imam mkuu wa msikiti Wa GPB Shell Mtaa wa Nyankumbu Mji wa Geita.

Imam Abdulrahmaan Alitekwa akiwa anatoka msikiti kuswalisha Taraweh akiwa Ameambatana na mtoto wake wakiume.

Akiwa njiani aliitwa na watu wawili waliofunika nyuso zao wakiwa wamevaa kiraia na kuzungumza naye,Inasemekana kwa mashuhuda kuwa kulitokea mzozo baina yake na wao Jambo lililopelekea Wafyatue risasi Moja hewani na kisha wakamchukua wakamuweka kwenye gari na kuondoka naye

Zimefanyika Juhudi jana kutwa nzima za kumtafuta kwenye vituo vyote vya polisi lakini hakupatikana na Hajulikani alipo mpaka mda huu.

Pamekuwepo na Wimbi kubwa sana katika mji wa Geita la vijana walio mstari wa mbele katika harakati za dini kutekwa na kupotezwa, ni wakati sasa wa kupaza sauti zetu kama umma wa kiislamu.
Harakati za dini ndiyo kitu gani. Mtashughulikwa km mnaleta kiherehere cha kidini kujifanya mnajua dini kuliko waarabu wenyewe walioleta hiyo dini. Nafikiri atakuwa anafinywa ili atoe siri hamchelewi kuleta boko haramu hapa kwetu. Ila mjue vyombo vyetu vya ulinzi na usalama viko imara sana
 
Huyo Imamu namfahamu ana mahubiri makali saana dhidi ya watu wasio waislamu tena anahubiri kwenye kipaza saut kuhusu ku dili na makafiri (hasa wakatoliki) vipi ile nyumba yake ya kule juu kuelekea msala wale vijana hua anawafundisha nn
Anawafundisha Quran tu
 
TAARIFA KWA UMMA WA KIISLAMU.

Jana Tulipokea Taarifa ya kutekwa kwa Ustaadh Abdulrahmaan Imam mkuu wa msikiti Wa GPB Shell Mtaa wa Nyankumbu Mji wa Geita.

Imam Abdulrahmaan Alitekwa akiwa anatoka msikiti kuswalisha Taraweh akiwa Ameambatana na mtoto wake wakiume.

Akiwa njiani aliitwa na watu wawili waliofunika nyuso zao wakiwa wamevaa kiraia na kuzungumza naye,Inasemekana kwa mashuhuda kuwa kulitokea mzozo baina yake na wao Jambo lililopelekea Wafyatue risasi Moja hewani na kisha wakamchukua wakamuweka kwenye gari na kuondoka naye

Zimefanyika Juhudi jana kutwa nzima za kumtafuta kwenye vituo vyote vya polisi lakini hakupatikana na Hajulikani alipo mpaka mda huu.

Pamekuwepo na Wimbi kubwa sana katika mji wa Geita la vijana walio mstari wa mbele katika harakati za dini kutekwa na kupotezwa, ni wakati sasa wa kupaza sauti zetu kama umma wa kiislamu.
Je gari hakuna aliye note number au wote wanaogopa kutaja
 
Tutambue viongozi wa dini ndio chanzo cha uwepo wa Amani na Pia uvunjifu. wa Amani katik Nchi kutokana na mafunzo na maelekezo watoayo huingia moja kwa moja kweny mioyo ya Waumini wao. Hivyo kwa ushauri Kama ni serikali ndio imemchukua ni vyema ikatoa taarifa na hata kumpeleka mahakamani kama akikutwa na Hatia. na pia kama Jeshi la polisi sio wahusika wa hili basi watoe ushirikiano wa kutosha kutosha wa kumtafuta. NB; ILI KUONDOA SINTOFAHAMU KWA RAIA NA WAUMINI WAKE PIA KUDUMISHA IMANI JUU YA JESHI LETU.
 
Kwahiyo wanafikiri aliyekalia kiti akiwa Muislamu mwenzao basi wana uhalali wa kufanya watakayo hata kama linatishia amani ya nchi?
Huwezi kukuta huu ujinga makanisani lakini upande wa kobazi huamini /hushabikia sana chokochoko na misikiti ya aina hii ipo dar na inajulikana na vibwagizo vyao vya takbiir,allah akbar hivi allah(asiyefananishwa)kwa kauli hizi ashafananishwa tayari.
 
TAARIFA KWA UMMA WA KIISLAMU.

Jana Tulipokea Taarifa ya kutekwa kwa Ustaadh Abdulrahmaan Imam mkuu wa msikiti Wa GPB Shell Mtaa wa Nyankumbu Mji wa Geita.

Imam Abdulrahmaan Alitekwa akiwa anatoka msikiti kuswalisha Taraweh akiwa Ameambatana na mtoto wake wakiume.

Akiwa njiani aliitwa na watu wawili waliofunika nyuso zao wakiwa wamevaa kiraia na kuzungumza naye,Inasemekana kwa mashuhuda kuwa kulitokea mzozo baina yake na wao Jambo lililopelekea Wafyatue risasi Moja hewani na kisha wakamchukua wakamuweka kwenye gari na kuondoka naye

Zimefanyika Juhudi jana kutwa nzima za kumtafuta kwenye vituo vyote vya polisi lakini hakupatikana na Hajulikani alipo mpaka mda huu.

Pamekuwepo na Wimbi kubwa sana katika mji wa Geita la vijana walio mstari wa mbele katika harakati za dini kutekwa na kupotezwa, ni wakati sasa wa kupaza sauti zetu kama umma wa kiislamu.

Subiri tu, wanataka kulianzisha kama wale makafiri wa ant balaka sio! Watajuta, wamwachie haraka kabla hatujaamua jambo
 
Back
Top Bottom