Utekaji umeanza tena? Imam Mkuu wa msikiti wa GPB Geita atekwa

Utekaji umeanza tena? Imam Mkuu wa msikiti wa GPB Geita atekwa

Maisha Yako magumu usiyafanye kuwa hoja ya kuleta uchochezi wa kidini.

Huku sio Mali au burma, fanyeni mfanyavyo ila mtakipata mnachokitaka, taifa hili asilimia kubwa ni waislamu,

So, kama na wewe ni mmoja wa watekaji basi mwachieni haraka, otherwise mnatangaza vita na waislamu

Nimemaliza!
 
Uzuri wa geita na watu wake ukiwakosea watakutafuta popote ulipo ulipie makosa yako. Hapo hakuna udini bali huyo kuna jambo kafanya
Kwahiyo tu mawakubali. Kuna mtu alichinjwa mbele ya mke wake huko Kilwa inasemekana mshikaji Kuna watu aliwapiga mpunga kutoka huko miaka ya nyumba hivyo walikuwa wanamsaka
 
Huku sio Mali au burma, fanyeni mfanyavyo ila mtakipata mnachokitaka, taifa hili asilimia kubwa ni waislamu,

So, kama na wewe ni mmoja wa watekaji basi mwachieni haraka, otherwise mnatangaza vita na waislamu

Nimemaliza!
• Dahh, we jamaa una akili finyu sana.......
• Wachochezi kama hao, ni kuwapoteza tuhh, hakuna kupoteza mda. 🗡️
 
Sijui lolote ninachojua geita hawana mchezo linapokuja swala la kuwakosea, kuna jamaa aliiba huko akakimbia wakamtafuta kama miezi mitano wakampata wilaya alioyokimbilia alikutwa kachinjwa na kukatwa katwa barua sijui ilifikaje polisi ikieleza kosa alilofanya
Usije kuwa ndio huyo ninaemzungumzia
 
Sema ukweli ni harakati gani alikua anapambania maana kama ni harakati za dini tunaona wakiristo wengi sana sokoni, stendi, kwenye mabasi wakipambania harakati za dini kwa kuhubiri lakini hatujawahi sikia wametekewa.
 
TAARIFA KWA UMMA WA KIISLAMU.

Jana Tulipokea Taarifa ya kutekwa kwa Ustaadh Abdulrahmaan Imam mkuu wa msikiti Wa GPB Shell Mtaa wa Nyankumbu Mji wa Geita.

Imam Abdulrahmaan Alitekwa akiwa anatoka msikiti kuswalisha Taraweh akiwa Ameambatana na mtoto wake wakiume.

Akiwa njiani aliitwa na watu wawili waliofunika nyuso zao wakiwa wamevaa kiraia na kuzungumza naye,Inasemekana kwa mashuhuda kuwa kulitokea mzozo baina yake na wao Jambo lililopelekea Wafyatue risasi Moja hewani na kisha wakamchukua wakamuweka kwenye gari na kuondoka naye

Zimefanyika Juhudi jana kutwa nzima za kumtafuta kwenye vituo vyote vya polisi lakini hakupatikana na Hajulikani alipo mpaka mda huu.

Pamekuwepo na Wimbi kubwa sana katika mji wa Geita la vijana walio mstari wa mbele katika harakati za dini kutekwa na kupotezwa, ni wakati sasa wa kupaza sauti zetu kama umma wa kiislamu.
Safi kama alikuwa anatoa mafunzo ya imani kali apigwe chuma ya kichwa tu...ukicheza na wagu wa imani kali utavuna mabua hao kamata piga vyuma wakiwa wengi hao nchi haikaliki

Kama mambo mengine mahakama zipo
 
Mkuu,
Harakati zipi hasa za kidini?
Unaweza toa au kutaja Idadi ya hao wanaharakati waliowahi kamatwa hapo Geita?
Kukamatwa kwake unauhakika gani kuwa ni suala la kidini?
 
Back
Top Bottom