Utekaji unavyofanyika hatua kwa hatua

Utekaji unavyofanyika hatua kwa hatua

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Utawala wowote dhalimu unaoelekea ukingoni huwa kama mbogo aliyejerujiwa.. Hufanya mambo ya kikatili na ya kutisha sana ikiwemo
Kuteka wapinzani wake
Kuwatesa
Kuwajeruhi
Kuwatia ulemavu
Kuwaua
Kuwapoteza wasipatikane popote tena.. Hofu kubwa ikiwa ni kama watapoteza udhibiti basi wanajua wazi kitakachowapata hasahasa
Kufilisiwa mali walizopata kwa dhuluma, wizi na ufisadi
Kushitakiwa kwa wizi, mauaji na mateso
Kushtakiwa kwa kuvunja katiba na haki za binadamu na mengine mengi kama kufungwa kuwekwa kizuizini kuhukumiwa kunyongwa nk
Hofu hii huwapelekea kuunda vikundi vya utekaji
Vikundi vya utekaji
Vikundi vya mauaji
Jela za siri na nyumba za siri za mateso
Mfumo wao wa utendaji huwa hivi
Wafadhili/ watoa pesa
Wapanga Mipango
Wachora ramani
Watekelezaji.. Hawa huwa wa hatua mbalimbali kuteka kutesa kuua na kupoteza ushahidi
Kila kundi lina majukumu yake na malipo yake
Kati ya yote hayo makundi yanayoogopeka sana ni makundi ya mateso na mauaji

Haya ni vikosi maalum vyenye mafunzo maalum ya kutesa na kuua.. Ni binadamu nusu watu. Wasio na silika za utu wala hisia za maumivu na huruma..
Ni watu wenye background ngumu na ya kutisha sana.. Baadhi wakiwa wamepitia mateso makubwa udogoni ama kwenye mmmakuzi yao

Kundi la chini ni watu wa kawaida watoa taarifa.. Huwa utawakuta mitandaoni muda wote ama mitaani na kwenye makundi ya watu.. Ni wachangamfu sana wanaopenda kujenga urafiki na mazoea na watu kwa kwa haraka
Ni wepesi kuku follow mitandaoni
Ni wepesi kukutaka muwe marafiki
Ni wepesi kukuomba mawasiliano
Ni wepesi kutaka kufahamu maisha yako, shughuli zako makazi yako nk
Ni wepesi kutaka kujua misimano yako kisiasa nknk

Tuendelee
Hawa wakishapata habari zako vizuri na kuzifikisha kunakotakiwa hupokea malipo ya awali.. Na wakishakulengesha ukadakwa humaliziwa malipo yao bila kujali utaenda kukutana na nini huko mbeleni
Kundi la pili ni watekaji wenyewe hawa nao hukupeleka mahali husika na kukukabidhi kwa kundi la tatu.. Hawa kwa sehemu kubwa huwa ni waajiriwa wa mamlaka
Kundi la nne ndio kundi tendaji na la hatari zaidi.. Hili ndio linabeba hatima yako
Likutese hlikuachilie ukiwa na majeraha ya kawaida
Likutese likuache na ulemavu wa kudumu
Likutese kisha likumalize na kukupoteza milele ama liache mzoga wako mahali
Kundi la mwisho ni la kubeba maiti na kwenda kuzizika, kuzitupa ama kuzipoteza

Mbinu, mipango utekelezaji na bajeti hutofautiana kulingana na nyakati na mahitaji
Kuna baadhi ya nyakati kundi moja Hufanya Kazi zote ama kuna nyakati Kazi hugawanywa katika makundi mawili tuu.. Hii husaidia kuongeza usiri na kupunguza bajeti

Mwisho wa sehemu ya kwanza
 
Asante kwa andiko kabambe
 
Duuh,duniani kuna mambo!
 
Ina maana serikali inatishia hadi wanjeshi wasiingie kwenye siasa? Walichofanyiwa walinzi wa Mbowe na huyu mzee Kibao ina maana serikali inatoa ujumbe kwa wanajeshi wasijihusishe na upinzani?

Wanajeshi hawana hata haja kuzuia maandamano ya tarehe 23, hivi hawaoni wananchi wanawatetea wao?

Licha ya kuitumikia nchi, wanakuja kuuwawa kikatili kisa tu wanajihusisha na upinzani, je nini maana ya demokrasia?

Mbona kuna wanajeshi wengi tu wastaafu wapo ccm, wengine wakuu wa mikoa.

Jeshi msikubali kudhalilishwa na mkubali wenzenu kuuawa kikaatili na kuteswa tena na polisi kisa siasa.

Kataeni, leo ni kwa mwenzako kesho ni ndugu yako, rafiki yako au mzazi...
 
Mamlaka yanakuja na price mbalimbali. Mojawapo ya price ni damu. Damu za wapinzani wako. Kile kiti kinanuka damu nyingi sana. Lakini yote mwisho wake ni nini? Ni ubatili.
 
GXCPpXhWEAAhZkf.jpeg

Bila ssemu tusingekua hapa tulipo
 
Back
Top Bottom