Utekelezaji wa haya yaliotajwa kwenye Ripoti ya Bajeti yanaanza lini?

Extrovert

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Posts
70,785
Reaction score
186,690
1. Magari ya umeme kuwa 0% taxed.

2. Gari za 2000cc au chini kuchajiwa 5% ya CIF tu kama ushuru.

3. Gari za zaidi ya 2000cc kupigwa ushuru wa 10%.

Je, haya yatekelezeka kweli au ndio kiki za kisiasa tu?

Screenshot_20230615-234424.png
 
1.Magari ya umeme kuwa 0% taxed

2.Gari za 2000cc au chini kuchajiwa 5% ya CIF tu kama ushuru.

3.Gari za zaidi ya 2000cc kupigwa ushuru wa 10%.

Je, haya yatekelezeka kweli au ndio kiki za kisiasa tu?
Hivi imekaaje hayo nifafanulie kidogo kama mfano gari ni usd 2800 japani na ni 1500cc inakuwaje tra calculator
 
1. Magari ya umeme kuwa 0% taxed.

2. Gari za 2000cc au chini kuchajiwa 5% ya CIF tu kama ushuru.

3. Gari za zaidi ya 2000cc kupigwa ushuru wa 10%.

Je, haya yatekelezeka kweli au ndio kiki za kisiasa tu?

View attachment 2658962

Yaani hujaelewa. Itavyokuwa ni kodi mbali na zilivyo sasa kutakuwa na nyongeza ya 5% na 10% kutegemea na hizo cc. Yaani kodi kupaa zaidi
 
1. Magari ya umeme kuwa 0% taxed.

2. Gari za 2000cc au chini kuchajiwa 5% ya CIF tu kama ushuru.

3. Gari za zaidi ya 2000cc kupigwa ushuru wa 10%.

Je, haya yatekelezeka kweli au ndio kiki za kisiasa tu?

View attachment 2658962
Hayo ni maombi ya waziri wa fedha, bajeti haijapita bado, kuna mjadala utaanza jumatatu kwa nchi zinazojitambuwa wabunge wanapaswa kutowa maoni ya marekebisho na waziri wa fedha afanye marekebisho kabla ya spika hajawahoji mbunge mmoja mmoja kupiga kura ya ndio au hapana.

Ila kwa Ccm ndio imeisha hiyo, hiyo ndio bajeti halisi wanasubiliwa wabunge Jumatatu waanze vibweka vya kusifia uwekezaji wa DP badala ya kujadili bajeti ya nchi.

Tumeliwa.
 
Watekeleze hayo mapendekezo tu. Kuna vyuma sana toka kampuni ya BYD.
 
Back
Top Bottom