Utekelezaji wa haya yaliotajwa kwenye Ripoti ya Bajeti yanaanza lini?

Utekelezaji wa haya yaliotajwa kwenye Ripoti ya Bajeti yanaanza lini?

Kodi ya magari chakavu na saruji imeongezeka mkuu usitegemee Mwigulu kupunguza hizo kodi ikiwa memory card tuu na flash wameongeza kodi pana watu hapo hizo Computer na Laptop Nchi zingine wanazichukulia kama vitabu ila huku ni starehe kodi inaongezwa kila kukicha...wameongeza kodi 5% na 10 % kwa magari hayo kutokana na ukubwa wa cc na mwaka lililotengenezwa...
 
Hayo ni maombi ya waziri wa fedha, bajeti haijapita bado, kuna mjadala utaanza jumatatu kwa nchi zinazojitambuwa wabunge wanapaswa kutowa maoni ya marekebisho na waziri wa fedha afanye marekebisho kabla ya spika hajawahoji mbunge mmoja mmoja kupiga kura ya ndio au hapana.

Ila kwa Ccm ndio imeisha hiyo, hiyo ndio bajeti halisi wanasubiliwa wabunge Jumatatu waanze vibweka vya kusifia uwekezaji wa DP badala ya kujadili bajeti ya nchi.

Tumeliwa.
Tena kwa mapambio na vijembe kwa wale wanaotoa ushauri wenye maishiko amboa wao kwasabaubu ya unyumbu wataupinga, (unyumbu ni tabia ya watu ambao wanauwezo mzuri wa kufikiri lakini huahirisha kufikiri kwasabu ya kulinda malirahi ya kundi fulani, (CCM) au uoga. Herding behavior is an occurrence of thoughtful people suspending their reasoning because of group objective, (conflict of interest) or fear, in this case fearing their leaders
 
1. Magari ya umeme kuwa 0% taxed.

2. Gari za 2000cc au chini kuchajiwa 5% ya CIF tu kama ushuru.

3. Gari za zaidi ya 2000cc kupigwa ushuru wa 10%.

Je, haya yatekelezeka kweli au ndio kiki za kisiasa tu?

View attachment 2658962
Ni bajeti ya 2023/2024, pengine itakuwa kuanzia Julai 1, unapoanza mwaka wa kifedha wa serikali.
 
Sasa nikinunua gari la umeme vp miundombinu ya kupichaji itakuwaje kwa hapa TZ?

Nilisikia magari ya umeme mfumo wake wa kuyachaji ni tofauti na Lazima kuwe na chaji special

#Tesla
#BYD
 
Ni bajeti ya 2023/2024, pengine itakuwa kuanzia Julai 1, unapoanza mwaka wa kifedha wa serikali.
Acheni kutumia muda mwingi kubeti, mwaka wa serikali huanza tarehe moja mwezi wa saba na kumalizika mwisho wa mwezi wa sita.
 
Sasa nikinunua gari la umeme vp miundombinu ya kupichaji itakuwaje kwa hapa TZ?

Nilisikia magari ya umeme mfumo wake wa kuyachaji ni tofauti na Lazima kuwe na chaji special

#Tesla
#BYD
Chaji special unafungiwa na Tanesco tu kwako. Inachukuliwa kwenye nguzo 🤣🤣🤣
 
Kodi iko pale pale, hamna unafuu kwenye kodi Kwa gari za umeme
 
Back
Top Bottom