mtimawachi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 2,108
- 3,155
Viongozi wetu tunawadekeza sanaVitu vingine vinaibuliwa watu wanapiga zao pesa, inaishi hiyo.
Tushakuwa wajinga wao mkuu,kulikuwa na haja gani ya kuzua mijadala na kulipana kwa kujadili ujingaKama wanaumwa tuagize nje
Wakati mwingine nampa credit trumpWalioshauri Hayo Waungane Na Ole Sabaya
Umesahau kuulizia tija ya kusajili laini za simu kwa finger prints.Hivi nani aliibua mchakato wa vazi la taifa? Uliishia wapi?
AU yule aliyeshauri vitambulisho vya NIDA, vina tija gani kwa sasa?
KUNA waziri alisema tiketi zipatikane kwa njia ya mtandao sijui aliishia wapi
USAFI kila mwezi je?
Mchungaji Mtikila aliwahi sema nchi hii haiwezi kuendelea sababu viongozi wake wote wanaumwa.
Vipi kuhusu kuanzishwa kwa somo jipya la Historia ya Tanzania, sijui limefikia wapi?Hivi nani aliibua mchakato wa vazi la taifa? Uliishia wapi?
AU yule aliyeshauri vitambulisho vya NIDA, vina tija gani kwa sasa?
KUNA waziri alisema tiketi zipatikane kwa njia ya mtandao sijui aliishia wapi
USAFI kila mwezi je?
Mchungaji Mtikila aliwahi sema nchi hii haiwezi kuendelea sababu viongozi wake wote wanaumwa.
Kinachoniudhi mpaka sasa hivi kero za maji,elimu,afya ,na barabara bado ni wimbo.Umesahau kuulizia tija ya kusajili laini za simu kwa finger prints.
Juzi kati mkuu wa nchi nae anashangaa kwamba faida yake ilikua nini? Maana hakuna kilichobadilika.
Subiri usajili wa line kwa mara ya tatu, wakulungwa wajipigie tena.
Nchi ya makondoo hii.
Hivi kulikuwa na haja gani ya vitambulisho vya nida kwa wakati huuHizo project watu wanaanzisha ili kupiga ela tu
Na ndio maana mzee wa loliondo alinywesha viongozi wengi sanaVipi kuhusu kuanzishwa kwa somo jipya la Historia ya Tanzania, sijui limefikia wapi?
Hapo ni kuzungumkuti tena kumbuka kuna kiongozi alisema kile kirambulisho sio uthibitisho wa kuwa ww ni uraiHivi kulikuwa na haja gani ya vitambulisho vya nida kwa wakati huu
Na ni kweli wanaumwa ni basi tu wanatoroka ICUHivi nani aliibua mchakato wa vazi la taifa? Uliishia wapi?
AU yule aliyeshauri vitambulisho vya NIDA, vina tija gani kwa sasa?
KUNA waziri alisema tiketi zipatikane kwa njia ya mtandao sijui aliishia wapi
USAFI kila mwezi je?
Mchungaji Mtikila aliwahi sema nchi hii haiwezi kuendelea sababu viongozi wake wote wanaumwa.
Yaani hawaeleweki kabisa.Yule ndo kadhihirisha kabisa kwamba tunaongozwa na wagonjwaHapo ni kuzungumkuti tena kumbuka kuna kiongozi alisema kile kirambulisho sio uthibitisho wa kuwa ww ni urai
Hela tu inawasitiri,yaani juzi waziri kasema kabisa kwamba kuwa kitambulisho cha nida hakihalalishi utanzania wako,wanasahau walivyokuwa wanakinadi walisema niniNa ni kweli wanaumwa ni basi tu wanatoroka ICU
Nilitegemea siku moja watatamka hayoHela tu inawasitiri,yaani juzi waziri kasema kabisa kwamba kuwa kitambulisho cha nida hakihalalishi utanzania wako,wanasahau walivyokuwa wanakinadi walisema nini