mtimawachi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 2,108
- 3,155
- Thread starter
- #21
Kinachowasumbua sifa tu! hawa jamaa hakika sio wazimaKuna matatizo katika utendaji Kwa muda mrefu sasa,
Kila kiongozi anakuja na lake badala ya kusimamia utekelezaji wa maamuzi ya vikao halali vya wananchi ambao ndio wenye nchi.
Tuna bunge, Kuna vikao vya madiwani.
Viongozi wa kisiasa wanapaswa tu kusimamia utekelezaji na sio kuwa waanzilishi na wasimamizi wa mambo , Kwa staili hiyo tutakua tunapiga mark time tu.