Utekelezaji wa ukusanyaji wa kodi ya majengo kupitia mita za luku

Nyinyi TRA Tanzania bado mna matatizo. Wakati mnaanzisha hii sheria yenu, tulikubaliana jengo lenye mita zaidi ya moja halitakiwi kukatwa kodi zaidi!

Wateja wamekuja kwenye ofisi zenu, wamejaza fomu za kuondoa makato kwenye hizo mita nyingine! Cha kushangaza bado mnaendelea kukata kila mwezi. Huu ni wizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…