Utekelezaji wa wazo la Rais Samia la kuvuna maji ya mvua uanze ili kudhibiti mafuriko

Utekelezaji wa wazo la Rais Samia la kuvuna maji ya mvua uanze ili kudhibiti mafuriko

KARLO MWILAPWA

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2019
Posts
2,789
Reaction score
4,951
Serikali ianze sasa utekelezaji wa wazo la Rais Samia alilotoa mwaka uliopita la kuvuna maji ya mvua Kwa kujenga mabwawa makubwa ili kuwe na hifadhi kubwa ya maji na pengine kusaidia kupunguza athari za mafuriko yanayosababishwa na mvua mahali mbalimbali Tanzania.
 
Serikali ianze Sasa utekelezaji wa wazo la Mhe.Rais alilotoa mwaka uliopita la kuvuna maji ya mvua Kwa kujenga mabwawa makubwa ili kuwe na hifadhi kubwa ya maji na pengine kusaidia kupunguza athari za mafuriko yanayosababishwa na mvua mahali mbalimbali Tanzania.
Ni kweli
Maji yana mwagika mengi sana mpaka yanaleta maafa
 
Hili ni wazo jema sana..sijui kwa nini halijawahi kutekelezwa
 
Back
Top Bottom