karv
JF-Expert Member
- Dec 26, 2019
- 1,802
- 3,253
Naomba na mimi nitoe uzi kuhusu haya mambo ya kutekwa kwa mabasi ya abiria miaka ya 2000.
Baada ya kufuluzwa shule za kata ikabidi brother anichukue niende Kagera kusomea huko; nikapanda zangu ndinga saaafi. Ilikuwa ni Mohamed Trans kwa kuwa ilikuwa ndio mara yangu ya kwanza kwenda Kagera -- ushamba ulikuwa mwingi sana.
Baada ya safari ndefu, kufika Kahama tukapoa. Nilipouliza wakasema mbele kuna msitu wanateka sana magari, kwa akili za kitoto sikulitilia maanani.
Basi asubuhi tukaendelea na safari. Baada ya kama ya nusu saa wakapanda mapolisi wawili wakiwa na mitutu ya bunduki (SMG) tukaenda nao. Baada ya muda wakashuka.
Baada ya kufika huko Karagwe ikabidi niwaulize wenyeji kuhusu hilo suala ndio wakaanza kunipa story kama ifuatavyo:
Hiyo siku Land Cruiser ilikuwa imetoka bank kutoa mihela kumbe kuna majamaa walikuwa washaichora kitambo; wakawapasha habari wazee wa kazi pale Kimisi kwamba kuna Cruiser inakuja na hela. Sasa kosa alilofanya mtoa habari hakuwatajia namba ya gari.
Kuna Cruiser nyingine ya kanisa ilikuwa inatoka hapo hapo Kayanga ambapo ni makao makuu ya wilaya ya Karagwe kwenda Ngara kwa kupitia Kimisi ambapo na ile Cruiser yenye hela ilitakiwa kupita njia hiyohiyo.
Basi ile Cruiser ya kanisa ikaanza safari. Baada ya kama dakika kadhaa ile Cruiser yenye hela nayo ikaanza safari, kwahiyo kukawa na Cruiser 2 zote zinafanana rangi moja ipo mbele nyingine ipo nyuma.
Wale jamaa wa pale Kimisi wakajua yenye mpunga ndio ile Cruiser ya kwanza wakatega magogo Cruiser ikajaa. Jamaa mle ndani kuona masister wa kizungu wakajua ndio wenyewe walipoulizwa hela ziko wapi wanasema hawana baada ya kupekua wasione kitu wale masister wakala pu-- palepale sasa sijui kama walipata mimba au la.
Ile Cruiser baada ya kuona Cruiser ya mbele imesimamishwa halafu Wahuni wanatokea porini, ilipigwa rivasi ya kufa kiumbe hai ikabidi warudi wilayani na kuripoti. Polisi hadi wanafika wakakuta jamaa washamaliza yao wametokomea.
Basi msimulizi wangu akaishia hapo.
Ili nijue kama jamaa hajanipiga changa, nikamuuliza mzee mwingine baada ya kukaa huko kama miezi 6 hivi. Akaniambia yeye alishawahi kutekwa kwenye tax yao. Walitekwa Nyaishozi huko wakavuliwa nguo zote. Yule mama ambaye dini kashika sanaaa akakutwa na bonge ya hirizi kiunoni ipo inapumua [emoji1787]
Huu uzi nitauleta siku nyingine
Kama na wewe ulishawahi kusimuliwa au kukukuta hebu tuambie