Utendaji wa Jeshi la Polisi kushughulia wahalifu

Utendaji wa Jeshi la Polisi kushughulia wahalifu

JUKUMU

Member
Joined
Apr 5, 2009
Posts
85
Reaction score
39
Wanajamii nawasalimu, natumaini wote mpo salama weekend hii.

Sasa niende kwenye point hasa kwenye suala ukamataji wa jeshi letu hasa pale inapotokea uhalifu.

Mfano tukio la Mwanza, Polisi anasema watuhumiwa walikuwa na mapanga hivyo ikabidi watumie risasi za Moto. Sawa walikuwa wanajihami, Ila kulikuwa na sababu gani kumpiga risasi mtu mwenye panga? Kuna sehemu za kupiga ambazo sio rahisi mtu kufa. Ina maana Polisi wetu hawajui hayo maeneo ya kupiga mpaka wanafikia hatua ya kuua mtu mwenye panga?

Hao wahalifu wanatakiwa wakamatwe wakiwa hai ili tupate taarifa za mtandao wao.

Pia ifikie mahali Polisi wetu wawe wanatumia camera(bordycam), ili kuwa na ushahidi wa matukio yao na kuondoa wasiwasi pale wanapotoa taarifa zao za matukio ya uhalifu, mara alianza kushambulia tukampiga risasi au alianza kukimbia.

Pia soma
 
Unategemea polisi ya akina wambura wawe na weledi huo? Never. He is just waiting for the next call directing him to execute another enforced disappearance
 
Wanajipanga kuwanasa vijana watarime wanaosemekana wanatumika vibaya na CDM.
 
Ukiona mpaka unauliwa hao ni wahalifu sugu
Mtu anapelekwa jela kesho tu katoka na anaendeleza uhalifu
Kuwa maliza hiyo ndiyo dawa ,mambo ya kutaka kuoata taarifa nk ni kupoteza muda

Ova
 
Back
Top Bottom