mirindimo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 901
- 1,742
Huu utendaji wa mazoea mazoea ulikua umeisha kabisa kipindi cha Hayati Magufuli naona sasa umerudi , mtu anaingia ofisini kitu cha kupitisha kwenye mfumo ata login kisha atakua anaitizama kompyuta yake huku anachezea simu mpaka siku inaisha na unakuta kwenye mfumo yeye anatakiwa kubonyeza just single click ili kazi ziendelee lakini hafanyi tu. Ofisi za Umma zimegeuka sehemu za Soga na kuingia Tiktok kuanzia mahospitalini mpaka kwa Wakurugenzi na wakuu wa Mikoa. Viongozi wa juu fuatulieni watendaji wenu hii sio sawa