Viboko tu? mimi nilipigwa vibao vya kwenye mapaja mpaka nikawa mwekundu. Sasa mtu nguvu za kusukuma huna na unajitahidi kadri ya uwezo wako wapi alafu bado unaongezewa na kipigo. Yaani nilitamani nimshtaki huyo Dokta ila nikaona isiwe shida Hospital za Serikali hawataniona tena! Labda nipelekwe nikiwa nimezidiwa. Wakati mama yangu ananihudumia alishangaa kuniona nimevimba mapaja na alama za vidole vya vibao kibao, nikamwambia walikuwa wananipiga. Alisikitika sana japo mume wangu hakujua mpaka sasa....Tanzania bado sana!...kuna mwaka fulani nyuma kidogo Mama Mkwe alitaka wife akajifungulie kwao kwenye Wilaya fulani mashuhuri nchini...baada ya Wife kujifungua salama (nilivyodhani!) akanipa story kuwa eti siku ya kujifungua nesi alikuwa na fimbo kabisa ameziweka chini ya kitanda na akamuambia wife na wengine aliwaona wife kuwa wakimsumbua na kuchelewa chelewa aliyokuwa anawaagiza wakati wa kujifungua atamcharaza viboko hivyo...na wife alishuhudia kweli wenzake wawili wakicharazwa viboko na Mkunga huyo ati kwa sababu tu walikuwa 'hawasukumi' sawasawa kama mkunga alivyokuwa anawahimiza!!...jibu langu kwa wife likawa moja tu....Saa hizi ningekuwa Jela!!![emoji34][emoji34]
Labda kweli alimaanisha lakini labour ward ni pagum sana, mama anakuwa hayuko katika akili ya kawaida kutokana na maumivu makali wakati huo mkunga nae akizembea hakupatikani mtoto.. Mi nafikir ni katika kumhamasisha tu Mama....Tanzania bado sana!...kuna mwaka fulani nyuma kidogo Mama Mkwe alitaka wife akajifungulie kwao kwenye Wilaya fulani mashuhuri nchini...baada ya Wife kujifungua salama (nilivyodhani!) akanipa story kuwa eti siku ya kujifungua nesi alikuwa na fimbo kabisa ameziweka chini ya kitanda na akamuambia wife na wengine aliwaona wife kuwa wakimsumbua na kuchelewa chelewa aliyokuwa anawaagiza wakati wa kujifungua atamcharaza viboko hivyo...na wife alishuhudia kweli wenzake wawili wakicharazwa viboko na Mkunga huyo ati kwa sababu tu walikuwa 'hawasukumi' sawasawa kama mkunga alivyokuwa anawahimiza!!...jibu langu kwa wife likawa moja tu....Saa hizi ningekuwa Jela!!![emoji34][emoji34]
InabidiMadame wewe ungemwambia lete nikufundishe kurecond ..
Wewe mwenyewe mtaalam unaachaje mtu anakosea halafu unamnyamazia!.
Labda kweli alimaanisha lakini labour ward ni pagum sana, mama anakuwa hayuko katika akili ya kawaida kutokana na maumivu makali wakati huo mkunga nae akizembea hakupatikani mtoto.. Mi nafikir ni katika kumhamasisha tu Mama.
Watendaji wengi hawafuati miiko ya kitaaluma. Kuanzia lugha wanayotumia hata attitude.
Kati ya mgonjwa na mgonjwa daktari anatembelewa na rafiki yake wanaanza kusogoa wakati nje wagonjwa wako kwenye foleni wengine wametoka nyumbani saa 11 alfajiri bila kifungua kinywa.
Tulikwenda hospitali na ndugu yangu, wakati wa kupima BP nesi alipokea simu iliyokuwa mfukoni mwake. Aliongea kwanza baada ya maongezi pasipo kutuomba radhi alirekodi vipimo. Nilimuomba arudie zoezi ili tupate uhakika aliniambia nisumfundishe kazi.
Hizo lugha chafu wanazopewa wamama wajawazito wala hazisemeki. Udhalilishaji umekuwa sehemu ya kazi.
Bodi za kitaaluma angalieni jinsi mtakavyo boresha nidhamu ya utendaji kazi. Huduma za afya ni moja ya mahitaji makuu ya wananchi. Wakipata huduma mbovu fikra za kuiondoa CCM madarakani labda hali itakuwa nzuri ndizo zinakuja kwanza.
Sasa wewe unaona ni kheri tunyamaze kwakua utendaji mbovu wa kazi uko katika kada zote Tanzania?Kwani utendaji wa kada gani unaridisha ndugu yangu....majanga kila kona hadi mochwari usipotoa rushwa utaoneshwa maiti zingine hata 10 akili ikuruke.
Ukitaka huduma nzuri basi nenda private sector huko kuna afadhali...huku uzalendoni, penyeza rupia kupata huduma nzuri na kwa haraka.
Kuna lingine?
Umeanza vizuri ila ulivyomalizia ndipo ulipoharibu.Watendaji wengi hawafuati miiko ya kitaaluma. Kuanzia lugha wanayotumia hata attitude.
Kati ya mgonjwa na mgonjwa daktari anatembelewa na rafiki yake wanaanza kusogoa wakati nje wagonjwa wako kwenye foleni wengine wametoka nyumbani saa 11 alfajiri bila kifungua kinywa.
Tulikwenda hospitali na ndugu yangu, wakati wa kupima BP nesi alipokea simu iliyokuwa mfukoni mwake. Aliongea kwanza baada ya maongezi pasipo kutuomba radhi alirekodi vipimo. Nilimuomba arudie zoezi ili tupate uhakika aliniambia nisumfundishe kazi.
Hizo lugha chafu wanazopewa wamama wajawazito wala hazisemeki. Udhalilishaji umekuwa sehemu ya kazi.
Bodi za kitaaluma angalieni jinsi mtakavyo boresha nidhamu ya utendaji kazi. Huduma za afya ni moja ya mahitaji makuu ya wananchi. Wakipata huduma mbovu fikra za kuiondoa CCM madarakani labda hali itakuwa nzuri ndizo zinakuja kwanza.
Sasa mkeo akizembea alafu asisukume mtoto akafa mnaanza tena kulaumu ma nurse....huko wanapojifungulia wajawazito ni sehemu ngumu sana kufanya kazi...humsukumi mtoto unategemea uchekewe,mtoto akifariki katika mazingira hayo lawama kwa madaktari...Tanzania bado sana!...kuna mwaka fulani nyuma kidogo Mama Mkwe alitaka wife akajifungulie kwao kwenye Wilaya fulani mashuhuri nchini...baada ya Wife kujifungua salama (nilivyodhani!) akanipa story kuwa eti siku ya kujifungua nesi alikuwa na fimbo kabisa ameziweka chini ya kitanda na akamuambia wife na wengine aliwaona wife kuwa wakimsumbua na kuchelewa chelewa aliyokuwa anawaagiza wakati wa kujifungua atamcharaza viboko hivyo...na wife alishuhudia kweli wenzake wawili wakicharazwa viboko na Mkunga huyo ati kwa sababu tu walikuwa 'hawasukumi' sawasawa kama mkunga alivyokuwa anawahimiza!!...jibu langu kwa wife likawa moja tu....Saa hizi ningekuwa Jela!!![emoji34][emoji34]
Hakuna kazi rahisi hawatakiwi kupiga watu Bali kuongea nao tena kwa upendo. Wakunga wanaojua kazi yao wakitoka kazini hawataki kuongea kwani wametoka kuongea shift nzimaSasa mkeo akizembea alafu asisukume mtoto akafa mnaanza tena kulaumu ma nurse....huko wanapojifungulia wajawazito ni sehemu ngumu sana kufanya kazi...humsukumi mtoto unategemea uchekewe,mtoto akifariki katika mazingira hayo lawama kwa madaktari
Ni kheri was he kazi na wawekezaji wazi sababu kuliko kwenda kazini kutesa raia wasio na hatia.Mishahara n midogo na kazi n kubwa,sio mchana,sio usiku n kazini tu....n nan asiyechoka? Watumishi wakidai waongezewe mishahara serikali inasema hyo n kazi ya wito na sio ya kulipwa huku mbunge aliyesoma mpk darasa LA saba akila karbu 10m per month plus marupurupu...ila doctor mwenye degree ana pesa kidogo tu....
Half et mnategemea wawe na moyo wa kuwahudumia......
Kila MTU apambane na hali yake tu....ukizinguliwa government nenda private tu.
Sasa wewe unaona ni kheri tunyamaze kwakua utendaji mbovu wa kazi uko katika kada zote Tanzania?