Nishawahi kupiga simu halotel. Customer care alinitukana na kunifungia lain. Ilikua long Easter weekend nikaona hata uvivu kwenda ofisi zao kushitaki. Nikaachana nao tu. Kweli customer care tz ni magumashi. I guess ni kwa sababu people are underpaid. anafanya kazi tu lakini kichwani stress nyingi. Sector ya afya is no different.Usilaumu sector ya afya tu customer care hapa Tz ni 0% neenda kila sector private na serikalini, unaweza ukafikiri kwamba wanalazimishwa kazi au hawalipwi mishahara kuna haja ya orientation seminar kwa watumishi wote
Hilo swala la wabunge ndo roho inaniuma dunian hakuna. Mbunge kazi yake ni porojo tu. Gari wanapewa, nyumba, posho kibao, bima ya afya nzuri. Akipita barabarani au akiingia ofisi yoyote na v8 yake watu wanamsujudia. Ila daktari anafanya kazi zaidi ya masaa 18 kwa siku, hata kama wanalipwa extra duty na call pesa zenyewe hazifiki kwa wakati na haikidhi mahitaji. Afrika life is unfair. Kuna watu wanapiga kazi wengine wanapiga pesa.Mishahara n midogo na kazi n kubwa,sio mchana,sio usiku n kazini tu....n nan asiyechoka? Watumishi wakidai waongezewe mishahara serikali inasema hyo n kazi ya wito na sio ya kulipwa huku mbunge aliyesoma mpk darasa LA saba akila karbu 10m per month plus marupurupu...ila doctor mwenye degree ana pesa kidogo tu....
Half et mnategemea wawe na moyo wa kuwahudumia......
Kila MTU apambane na hali yake tu....ukizinguliwa government nenda private tu.
Na hakuna kazi asiyo na lawama....mama kajifungua salama...huenda mikwara ya uyo muuguzi ndo imesaidia apush mtoto....huenda bila iyo mikwara sahivi tungekuwa tunaongea mengine...unadhani huyo muuguzi kapenda kwenda na fimbo huko kwenye kazi yake...kutokana na experience yake kaona kumbe viboko vinasaidia ndo mana anavitumia..wakiongea kwa upendo mgonjwa usipoyafanyia kazi wanayomuelekeza afanyaje...aache afe muanze tena kulalamika humu...na unadhani hizo mbinu za kuongea kwa upole hawajawahi zitumia....hivyo viboko kwani vinamsaidia nani kati yeye or mjamzito....mimi ningekuwa muuguzi naongea na wewe vizuri kukuelekeza but nikiona nimekuelekeza kwa upendo huelewi somo na imefika hatua unahatarisha uhai wa mtoto na wewe mwenyewe hapo mboko lazima zitumike...tena fimbo kweli...but yote iyo ni kumsaidia mama mjamzito na kiumbe wote wawe salamaHakuna kazi rahisi hawatakiwi kupiga watu Bali kuongea nao tena kwa upendo. Wakunga wanaojua kazi yao wakitoka kazini hawataki kuongea kwani wametoka kuongea shift nzima
Kwahiyo wewe unashauri wachapwe hamna namna? Iliwatoto wa sife.........kwenye hospitali za kimataifa au private wenyewe wanafanya je? hiyo nidharau unapiga je mke wa mtu eti kisa hajasukuma mtoto kwanguvuSasa mkeo akizembea alafu asisukume mtoto akafa mnaanza tena kulaumu ma nurse....huko wanapojifungulia wajawazito ni sehemu ngumu sana kufanya kazi...humsukumi mtoto unategemea uchekewe,mtoto akifariki katika mazingira hayo lawama kwa madaktari
Usilaumu sector ya afya tu customer care hapa Tz ni 0% neenda kila sector private na serikalini, unaweza ukafikiri kwamba wanalazimishwa kazi au hawalipwi mishahara kuna haja ya orientation seminar kwa watumishi wote
Huko kwenye hospitali za private huwa kuna msongamano wa wagonjwa??huko private hakuna wahudumu wa afya wa kutosha??...hujui hospitali za government zinachangamoto...wakati mama mjamzito anabembelezwa huku anachelewa kupush mtoto kuna wengine wanataka kujifungua na wanasubiri huduma ya mtu mmoja vipi hao waachwe wafe???...na mkuu nimeuliza swali unadhani hao ma nurse wanapenda kwenda na fimbo huko hospitalini...inatakiwa uangalie intention ya kwenda na hizo fimbo..intention ni kumsaidia mama mjamzito na mtoto wote wawe salama....unaelekezwa kwa upendo husikii na hufuati maelekezo hapo lazima ukali utumike na ndo maswala ya viboko....intention sio kumdhuru mjamzito intention ni kumsaidia ajufungue bila kuhatarisha uhai wa mtoto na yeye mwenyeweKwahiyo wewe unashauri wachapwe hamna namna? Iliwatoto wa sife.........kwenye hospitali za kimataifa au private wenyewe wanafanya je? hiyo nidharau unapiga je mke wa mtu eti kisa hajasukuma mtoto kwanguvu
Kwahiyo wewe unashauri wachapwe hamna namna? Iliwatoto wa sife.........kwenye hospitali za kimataifa au private wenyewe wanafanya je? hiyo nidharau unapiga je mke wa mtu eti kisa hajasukuma mtoto kwanguvu
Basi kama viboko ni njia sahihi watuinyeshe sehemu bodi yao ilipoidhinisha wao watumie viboko.Na hakuna kazi asiyo na lawama....mama kajifungua salama...huenda mikwara ya uyo muuguzi ndo imesaidia apush mtoto....huenda bila iyo mikwara sahivi tungekuwa tunaongea mengine...unadhani huyo muuguzi kapenda kwenda na fimbo huko kwenye kazi yake...kutokana na experience yake kaona kumbe viboko vinasaidia ndo mana anavitumia..wakiongea kwa upendo mgonjwa usipoyafanyia kazi wanayomuelekeza afanyaje...aache afe muanze tena kulalamika humu...na unadhani hizo mbinu za kuongea kwa upole hawajawahi zitumia....hivyo viboko kwani vinamsaidia nani kati yeye or mjamzito....mimi ningekuwa muuguzi naongea na wewe vizuri kukuelekeza but nikiona nimekuelekeza kwa upendo huelewi somo na imefika hatua unahatarisha uhai wa mtoto na wewe mwenyewe hapo mboko lazima zitumike...tena fimbo kweli...but yote iyo ni kumsaidia mama mjamzito na kiumbe wote wawe salama
Kama tatizo ni wamama kushindwa kujifungua research ifanyike ili tatizo lijulikane na wataalamu wetu walitolee ufumbuzi. Kupiga wazazi si njia sahihiZa kimataifa au private usemazo ni operesheni tuu hawana muda wa kuhangaika na wewe wanaenda na muda zaidi na wewe unaenda na pesa zaidi
Bora hao wanaochapwa viboko maana hata biblia inaruhusu,Wengine ni vibao na makofi
Umeongea ukweli mtupu ndugu yangu, hao manesi ni kweli wapo hivyo japo si woteWatendaji wengi hawafuati miiko ya kitaaluma. Kuanzia lugha wanayotumia hata attitude.
Kati ya mgonjwa na mgonjwa daktari anatembelewa na rafiki yake wanaanza kusogoa wakati nje wagonjwa wako kwenye foleni wengine wametoka nyumbani saa 11 alfajiri bila kifungua kinywa.
Tulikwenda hospitali na ndugu yangu, wakati wa kupima BP nesi alipokea simu iliyokuwa mfukoni mwake. Aliongea kwanza baada ya maongezi pasipo kutuomba radhi alirekodi vipimo. Nilimuomba arudie zoezi ili tupate uhakika aliniambia nisumfundishe kazi.
Hizo lugha chafu wanazopewa wamama wajawazito wala hazisemeki. Udhalilishaji umekuwa sehemu ya kazi.
Bodi za kitaaluma angalieni jinsi mtakavyo boresha nidhamu ya utendaji kazi. Huduma za afya ni moja ya mahitaji makuu ya wananchi. Wakipata huduma mbovu fikra za kuiondoa CCM madarakani labda hali itakuwa nzuri ndizo zinakuja kwanza.
Watendaji wengi hawafuati miiko ya kitaaluma. Kuanzia lugha wanayotumia hata attitude.
Kati ya mgonjwa na mgonjwa daktari anatembelewa na rafiki yake wanaanza kusogoa wakati nje wagonjwa wako kwenye foleni wengine wametoka nyumbani saa 11 alfajiri bila kifungua kinywa.
Tulikwenda hospitali na ndugu yangu, wakati wa kupima BP nesi alipokea simu iliyokuwa mfukoni mwake. Aliongea kwanza baada ya maongezi pasipo kutuomba radhi alirekodi vipimo. Nilimuomba arudie zoezi ili tupate uhakika aliniambia nisumfundishe kazi.
Hizo lugha chafu wanazopewa wamama wajawazito wala hazisemeki. Udhalilishaji umekuwa sehemu ya kazi.
Bodi za kitaaluma angalieni jinsi mtakavyo boresha nidhamu ya utendaji kazi. Huduma za afya ni moja ya mahitaji makuu ya wananchi. Wakipata huduma mbovu fikra za kuiondoa CCM madarakani labda hali itakuwa nzuri ndizo zinakuja kwanza.
[/QUO
mimi nishagafikiria kumiliki bastora ili akinijibu vibaya tu nakula nae sahani moja yaani wanakera sana mtu anapokea simu halafu anaongea huku anakuandikia majibu kwenye cheti? nyambafff
Miaka ya nyuma sekta ya afya ilikuwa ni wito, yani mgonjwa ukimuona tu muuguzi tayari unahisi ahueni.
Huyo aliyefanya ubakaji kwanza mkono wa sheria ulitakiwa kuingilia kati na angetolewa kwenye register ya bodi hata akitoka jela awe mkulima.Tatizo liko kwenye vyombo vya kitaaluma kama chama cha madaktari na chama cha wakunga na manesi wameshindwa kuhakikisha kuwa wanachama wao wanafata maadili na kiapo chao cha kazi kwa kuona huyu ni mwenzetu matokeo yake wanasiasa wakiingilia kati wanaona kama ni udhalilishaji mfano hai ni tukio lilitoke Igungayule mtu alishafanya ubakaji lakini pamoja na kujulikana alihamishwa sehemu nyingine huku vyama husika vikikaa kimya huu ni udhaifu mkubwa
Iliwahi kunikuta Hospitali moja kubwa mkoa wa pwani ya serikali,nimempeleka mtoto wangu pumu imembana,ikafika zamu yangu kuingia akaingia jamaa inaonekana anafahamiana na yule daktari wa kike,basi walipiga story karibu nusu saa,nilipoingia ananiambia unauhakika kama ni pumu,tena huku anapekuwa simu yake,anasema unajua nyinyi wanaume mtoto akiumwa huwa mnapanic sana,hapo kaona nimeanza kukunja uso,nikamwambia sio mara yake ya kwanza kubanwa,akaniuliza anatumia dawa gani akibanwa,nikamwabia ni Nebulizer inhaler huwa ni very effective kwake,akasema unajua inabidi umpeleke kwenye hospitali anakotibiwa,nikipiga hesabu ni karibu km 15 mpaka hiyo hospitali,na kama unavyojua foleni za Dar,nikaishiwa nguvu mtoto nguvu zimesha ,ameshatapika mara kadhaa kanyon'gonyea,sikuwa na ujanja ikanibidi nichukue Taxi,ni hivyo tu siku yake ilikuwa bado Mungu akanisaidia nikafika salama na mtoto akapatiwa matibabu...Watendaji wengi hawafuati miiko ya kitaaluma. Kuanzia lugha wanayotumia hata attitude.
Kati ya mgonjwa na mgonjwa daktari anatembelewa na rafiki yake wanaanza kusogoa wakati nje wagonjwa wako kwenye foleni wengine wametoka nyumbani saa 11 alfajiri bila kifungua kinywa.
Tulikwenda hospitali na ndugu yangu, wakati wa kupima BP nesi alipokea simu iliyokuwa mfukoni mwake. Aliongea kwanza baada ya maongezi pasipo kutuomba radhi alirekodi vipimo. Nilimuomba arudie zoezi ili tupate uhakika aliniambia nisumfundishe kazi.
Hizo lugha chafu wanazopewa wamama wajawazito wala hazisemeki. Udhalilishaji umekuwa sehemu ya kazi.
Bodi za kitaaluma angalieni jinsi mtakavyo boresha nidhamu ya utendaji kazi. Huduma za afya ni moja ya mahitaji makuu ya wananchi.