Hivi vyote ukilinganisha gharama ya kuvinunua mbona kama haina tofauti na kununua mifuko miwili ya chakula cha dukani?. Hii maabara ya intertec wapo kurasini tumeambiwa inapima vitu vingi hebu wadau kawacheki yawezekana wakawa msaada kwetu wajasiliamali. Mkuu chasha,mama joe hebu ongea na wadau tuchange hela tununue mashine yetu ya kusaga chakula cha kuku kinasagwa alafu mdau anatumiwa mifuko yake anayohitaji popote alipo alipie nauli tu.kama ikionekana usafili ni gharama tunagawa zoni wa mwanza mashine yao, mbeya mashine yao, dar mashine yao, arusha mashine yao, au hizi mashine zinauzwa mabilioni?