Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Siwezi shangaa kuona bajeti kubwa ikitengwa kwa watu wa programmer ambao wanashindana na idara kubwa za hisabati na mainjinia wa ovyo pamoja waziri mkuu wetu naye kuwepo ufikiri ni VETA.
Programmer ina beba uwezo kubwa wa kumaliza mengi mambo ya software.
Leo hii kwa nini ccm wanaogopa uchaguzi mubashara kwenye mfumo wa software ambazo azitakiwi wasira wala lucas mwashamba.