Utengenezaji wa juisi ya Stafeli

Utengenezaji wa juisi ya Stafeli

Tunda tamu saana hili... yangu yamekuwa yakishambuliwa na sisimizi sijajua shida nini. Unaweza liona limeanza kukomaa

Ukija kulichuma unakuta limetobolewa na sisimizi.
Ewaa,hii ndo shida kubwa sijui dawa ni nini,
ndo maana nilitaka niikate,
 
Hivi kuna tofauti kati ya stafeli na topetope?

Ila stafeli tamuuu
Natamani ningekuwepo nyumbani nikuonyeshe tofauti... maana tope tope kwa picha za ostaz google hazijakaa kama lenyewe.
Hili ndilo stafeli
45dfe01f2e7cd4363618478f607e6bf2.jpg

Hili ndilo tope tope...
e73ac8c7853f1a2065c28f03e1229fcf.jpg

stafeli ndani lina maji mengi tofauti na topetope na ndani lipo kama pamba. Topetope limekaa kama ugali na lenyewe sio la kijan lina uweupe ambao likikomaa linaanza kuwa na uweupe na unjano unaoelekea wekundu(wanaume tuna colour blind).
 
Ewaa,hii ndo shida kubwa sijui dawa ni nini,
ndo maana nilitaka niikate,
Mkuu unakuta yametoboka na sisimizi wameingia ndani....wanaacha madude meusi.

nilichofanya nayawahi madogo japo hayana utamu kama yaliyokomaa.
 
Natamani ningekuwepo nyumbani nikuonyeshe tofauti... maana tope tope kwa picha za ostaz google hazijakaa kama lenyewe.
Hili ndilo stafeli
45dfe01f2e7cd4363618478f607e6bf2.jpg

Hili ndilo tope tope...
e73ac8c7853f1a2065c28f03e1229fcf.jpg

stafeli ndani lina maji mengi tofauti na topetope na ndani lipo kama pamba. Topetope limekaa kama ugali na lenyewe sio la kijan lina uweupe ambao likikomaa linaanza kuwa na uweupe na unjano unaoelekea wekundu(wanaume tuna colour blind).
Wapenda kula utawajua mefurahi umeelezea vizuri sana.
Ngoja na mie nikayatafute hayo matunda nione utamu wake [emoji4].
 
Daah bora hata umenisaidia maana sijawahi kutofautisha stafeli na topetope.

Na vipi kuhusu ladha zake zinatofautiana?
Tofauti kabisa.....
Stafeli kwanza linavinyusivinyusi kama pamba na maji mengi mengi[Kwangu ndilo tamu.]

Topetope..
Ni kama ugali ugali mwepesi kwa mbali... sijawahi kuona hata juice yake. Mzee wangu kwake alipanda kila aina ya Tunda kuanzia miwa hadi hayo mengine akaniambukiza... napenda mitimiti hasa ya Matunda.
 
Asanteh
Nitajitahidi niyatafute nipate kujua hizo ladha zake.
 
Mkuu unakuta yametoboka na sisimizi wameingia ndani....wanaacha madude meusi.

nilichofanya nayawahi madogo japo hayana utamu kama yaliyokomaa.
Madogo mimi yananishinda yanakuwa na ladha ya chumvi.Yaliyokomaa yana utamu wa sukari
na zile nyuzi nyuzi zake nyeupe burudani. Kuna dawa inaitwa ninja napuliziaga mipapai kuondoa
utando mweupe nitaanza kupulizia labda inaweza kusaidia.
 
Nikirudi nitatafuta dawa kama nitaukumbuka huu uzi nitakuambia[emoji106] [emoji106]
 
Nipo mtwara hayo matunda huku mengi mno kama umtu anahitaji tufanye biashara buku2 hadi 2 dala unapata bonge la tufee tuu
 
Matunda ya stafeli yana uwezo wa kuzuia vimelea vya kansa Mara elfu kumi(10,000), kuliko dawa yoyote iliyowahi kutengenezwa. Ukiyapata kula sana, yana faida kubwa mwilini.
 
Siku ukija kwangu nitakuandalia
 
Mi kwangu inaota yakidondoka.
ila sehemu moja mti ulipo ni mbali na nyumba
na nje ya fensi kila yakibeba watoto wanayaonea
balaa.Sikujua umuhimu wake. Miche inapatikana
hata ukinunua tunda ukaanika mbege zinaota.
Unajua nataka nikisha-settle kabla sijazeeka basi niishi mahali ambako nimezungukwa na bustani za matunda! So, it's not about miche michache lakini nikianza, kwa kitu kama mistafeli basi nakusudia niwe na angalau robo to nusu ekari! Tunda lingine kama yanaweza kuwa pamoja lakini kwa vitaru tofauti ni maembe.
 
Wapi inapatikana miche yake?! Na inaweza kupatikana kwa wingi au ndo kama ilivyozoeleka manake sijawahi kuona angalau mistafeli mitano ikiwa pamoja

mie nimeipata sua
 
Back
Top Bottom