Ewaa,hii ndo shida kubwa sijui dawa ni nini,Tunda tamu saana hili... yangu yamekuwa yakishambuliwa na sisimizi sijajua shida nini. Unaweza liona limeanza kukomaa
Ukija kulichuma unakuta limetobolewa na sisimizi.
Natamani ningekuwepo nyumbani nikuonyeshe tofauti... maana tope tope kwa picha za ostaz google hazijakaa kama lenyewe.Hivi kuna tofauti kati ya stafeli na topetope?
Ila stafeli tamuuu
Mkuu unakuta yametoboka na sisimizi wameingia ndani....wanaacha madude meusi.Ewaa,hii ndo shida kubwa sijui dawa ni nini,
ndo maana nilitaka niikate,
Daah bora hata umenisaidia maana sijawahi kutofautisha stafeli na topetope.Jibu ni hapana,
STAFELI.
TOPETOPE.
FENESI.
Wapenda kula utawajua mefurahi umeelezea vizuri sana.Natamani ningekuwepo nyumbani nikuonyeshe tofauti... maana tope tope kwa picha za ostaz google hazijakaa kama lenyewe.
Hili ndilo stafeli
Hili ndilo tope tope...
stafeli ndani lina maji mengi tofauti na topetope na ndani lipo kama pamba. Topetope limekaa kama ugali na lenyewe sio la kijan lina uweupe ambao likikomaa linaanza kuwa na uweupe na unjano unaoelekea wekundu(wanaume tuna colour blind).
Tofauti kabisa.....Daah bora hata umenisaidia maana sijawahi kutofautisha stafeli na topetope.
Na vipi kuhusu ladha zake zinatofautiana?
AsantehTofauti kabisa.....
Stafeli kwanza linavinyusivinyusi kama pamba na maji mengi mengi[Kwangu ndilo tamu.]
Topetope..
Ni kama ugali ugali mwepesi kwa mbali... sijawahi kuona hata juice yake. Mzee wangu kwake alipanda kila aina ya Tunda kuanzia miwa hadi hayo mengine akaniambukiza... napenda mitimiti hasa ya Matunda.
Madogo mimi yananishinda yanakuwa na ladha ya chumvi.Yaliyokomaa yana utamu wa sukariMkuu unakuta yametoboka na sisimizi wameingia ndani....wanaacha madude meusi.
nilichofanya nayawahi madogo japo hayana utamu kama yaliyokomaa.
Nikirudi nitatafuta dawa kama nitaukumbuka huu uzi nitakuambia[emoji106] [emoji106]Madogo mimi yananishinda yanakuwa na ladha ya chumvi.Yaliyokomaa yana utamu wa sukari
na zile nyuzi nyuzi zake nyeupe burudani. Kuna dawa inaitwa ninja napuliziaga mipapai kuondoa
utando mweupe nitaanza kupulizia labda inaweza kusaidia.
Pamoja sana.Nikirudi nitatafuta dawa kama nitaukumbuka huu uzi nitakuambia[emoji106] [emoji106]
Naam ladha ni tofauti kabisa.... siyapendi matope tope yuk yuk.Daah bora hata umenisaidia maana sijawahi kutofautisha stafeli na topetope.
Na vipi kuhusu ladha zake zinatofautiana?
Unajua nataka nikisha-settle kabla sijazeeka basi niishi mahali ambako nimezungukwa na bustani za matunda! So, it's not about miche michache lakini nikianza, kwa kitu kama mistafeli basi nakusudia niwe na angalau robo to nusu ekari! Tunda lingine kama yanaweza kuwa pamoja lakini kwa vitaru tofauti ni maembe.Mi kwangu inaota yakidondoka.
ila sehemu moja mti ulipo ni mbali na nyumba
na nje ya fensi kila yakibeba watoto wanayaonea
balaa.Sikujua umuhimu wake. Miche inapatikana
hata ukinunua tunda ukaanika mbege zinaota.