Utengenezaji wa juisi ya Stafeli

mie nimeipata sua
AHSANTE kwa herufi kubwa manake hicho ndicho nilikuwa nafikiria... nilikuwa najiuliza ikiwa pale SUA wana-deal na huu mmea.

Anyway, pale SUA mie ni mwenyeji na nilikuwa na ratiba ya kwenda pale kwa related issues.
 
karibu
 
Asante sana Mbiti. Hii juice niliinywa sehemu, nikaipenda sana, nikatamani nikifika nyumbani niitengeneze mwenzangu nae aifaudu. Basi mhudumu akanielekeza juu juu.

Baada ta heka heka zote za kublend na kuchuja nikachemsha maziwa na kuchanyanya. Oooh! Juice yote ikajikata na biashara ikaishia hapo.
Sasa naomba unielekeze namna ya kupambana na zile nyuzi zake na uzito coz inasumbua sana wakati wa kuchuja. Wewe unatumia mbinu gani?
 
hahahha nimecheka !nakumbuka uliwah niambia unapenda sana hizi ishu !nadhan ni aina za majuchio !machujio mazuri mie ninanunua mliman city !kama nakuona
 
Mimi huwa natumia chujio la chuma , juice inatoka nzito, nyuzi hazileti shida sana
 
MBITIYAZA hujasema hii juice inaongeza nini.........
anyway mimi nliomba uje home unifundishe namna ya kutengeneza hiyo juice..halafu nitupie na strawberries humo kwa ndani nione utamu wake
 
MBITIYAZA hujasema hii juice inaongeza nini.........
anyway mimi nliomba uje home unifundishe namna ya kutengeneza hiyo juice..halafu nitupie na strawberries humo kwa ndani nione utamu wake

inazuia mno kansa ! na inahamasisha matukio nyeti nyeti !we kula strawberry ingia kwenye mechi za mchangani !utajikubali! ni nzuri mno !yaan km una' kichwa' fanya kunywa kwa raha zote atleast week moja ! ngj nipate nauli nije nikutengenezee huko huko kwako !
 
Aisee.. Usibubiri kupata nauli nitumie hapa namba yako ya mpesa. 500,000 kwa nauli inatosha? Nisamehe ni pesa ndogo ila ndo hivyo nipo juu ya mawe ... Uje ufanye haraka basi na uje ukiwa fresh kwa ajili ya juice fresh

my ribs !oh mbitiyaza !

hahahah we namba yangu si ile 'unayodipugi' kila lunch tym? uongo kweli ? nikipiga oh mbiti nakupa hi !khaa unanipa hi kwa
'kunidip'!hahahaha ! jokes aside !lol
 
Basi mwnzio huwa najua simu imeita imekata... Kumbe nakuwa nime "kudiku" tu? Unajua sisi wengine tupo busy so simu tunapiga mtu ikiita mara moja kama hajapokea tunakata.hatutak usumbufu na wakati ni mali pia.basi ntakutumia ingawa roho inaniuma we mtu wangu sana...ni aibu mimi kukutumia 500,000 ya nauli toka huko kwenu mbagala mwisho mpaka kijitonyama. Ingekuwa ndo enzi zile...mbona ningekutumia hedikopta kabisa ije kukuchukua... Mi sipendi shida sema tu ndo zimeniganda kama ngozi
 
hahhaahaha ! we kama unayo katoe kwa mafundi warekebishe zile 'nyufwaz' za magu hostels
 
Na Mimi nitaitengeneza asubuhi ila nitaweka passion na tangawizi maana napenda juice iwe kidogo na kauchachu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…