Utengenezaji wa mitungi ya gas ya "ProGas" hapa Kenya

58-47=11 mln

haya chukua eneo la tz linganisha na la kenya.eneo linalobaki waweke hao watu 11mln kisha kanywe chai ulale.
Mzee akiongea unatulia. 1960 Kenya tulikuwa 8 million na nyie mlikuwa 10 million. Yaani gap ya 2 million tu. Lakini baada miaka hamsini baadaye, gap limeongezeka hadi 11 million. Nyie kazi yenu kwa miaka hamsini imekuwa ni kulipuana tu bila hata kupanga uzazi. Cheki hii evidence

Screenshot_20200722-134956.jpg

Screenshot_20200722-134948.jpg
 
Mzee akiongea unatulia. 1960 Kenya tulikuwa 8 million na nyie mlikuwa 10 million. Yaani gap ya 2 million tu. Lakini baada miaka hamsini baadaye, gap limekuwa hadi 11 million. Nyie kazi yenu kwa miaka hamsini imekuwa ni kulipuana tu bila hata kupanga uzazi. Cheki hii evidence

View attachment 1513636

View attachment 1513638
yafaa mpange uzazi,sababu kwanza land yenu ni limited,halafu pia ni kavu.

kama tunaweka akili sawa kwa size ya eneo la kila nchi.kenya mmezaliana zaidi kwenye eneo moja kutuzidi.
 
Why did Tanzanian developers make an entire section dedicated to kenyan politics and why are you here. We know Tanzanians like kenyan news since your media is useless. You watch and follow kenya . Thats why they made a kenya Section. Iam in JF because some stupid people were spreading nonsense back in 2014 to 2016 ( Geza and co.)and we had to join to end that shit and represent our nation.

Sent from my SM-N975F using JamiiForums mobile app
We have Uganda section and Rwanda.
Don't expose your stupidity, this sections is for we Tanzanians to spread our propaganda to our neighbors
 
Hahaha. Kwa hivyo unajua kazi yenu ni kusambaza propaganda?
 
yafaa mpange uzazi,sababu kwanza land yenu ni limited,halafu pia ni kavu.

kama tunaweka akili sawa kwa size ya eneo la kila nchi.kenya mmezaliana zaidi kwenye eneo moja kutuzidi.
Na bado tumewatandika kwenye Gdp na Gdp per capita na Gni per capita. Hio inaonyesha jinsi nyie ni wazembe. Nchi yetu ni nusu yenu na zaidi ya nusu ni jangwa na bado tunatikisa sakafu huku A.M
 
Uzembe mtupu . Tanzania is a resource rich peaceful nation which should be leading africa but its full of stupid people. Kenya na ukabila wetu na ufisadi wetu na bado peaceful tanzania cant touch us .

Sent from my SM-N975F using JamiiForums mobile app
Ohh kumbe ni kuhusu 'Touch Us' hilo hatuwezi hatjalelewa katika maadili hayo.
 
Na bado tumewatandika kwenye Gdp na Gdp per capita na Gni per capita. Hio inaonyesha jinsi nyie ni wazembe. Nchi yetu ni nusu yenu na zaidi ya nusu ni jangwa na bado tunatikisa sakafu huku A.M
siku utajua hizo ni number tu utaacha ujinga nakwambia.
 
58-47=11 mln

haya chukua eneo la tz linganisha na la kenya.eneo linalobaki waweke hao watu 11mln kisha kanywe chai ulale.
Kitu rahisi chukua population ya baada ya uhuru ya nchi zote mbili mpka kufikia sasa
 
Ohh kumbe ni kuhusu 'Touch Us' hilo hatuwezi hatjalelewa katika maadili hayo.
Look at yourself. A simple English word na umeshaa anza kufikiria takataka za anasa ..wtf .. your low IQ brain can only thinkof that as an appropriate response. People who keep thinking of shit like that have secret fantasies of that. That is why a simple word and you already thinking of shit

Get yourself checked.

Sent from my SM-N975F using JamiiForums mobile app
 
Look at yourself. A simple English word na umeshaa anza kufikiria takataka za anasa ..wtf .. your low IQ brain can only thinkof that as an appropriate response. People who keep thinking of shit like that have secret fantasies of that. That is why a simple word and you already thinking of shit

Get yourself checked.

Sent from my SM-N975F using JamiiForums mobile app
You seem very angry and have "caught feelings", direct your anger to your pathetic government that has ensured that kenya is the most economically unequal country in africa, most corrupt, with most jobless youth, most insecure, most hunger striken, with most police abuse of human rights and a place where court orders are equal to toilet paper.
Misdirecting you anger to tanzanians will not help you solve your very many problems. Tommorow every tanzanian will wake up,take 3 meals a day and sleep in decent housing something that 70% of kenyans can only dream of.
Life goes on, pambana na hali yako... Tanzania has 6 neighbours and numerous friends all over the world some richer than Tz some poorer. Kenya can go jump into indian ocean and drown itself, Tz will only come to its funeral.
 
Look at yourself. A simple English word na umeshaa anza kufikiria takataka za anasa ..wtf .. your low IQ brain can only thinkof that as an appropriate response. People who keep thinking of shit like that have secret fantasies of that. That is why a simple word and you already thinking of shit

Get yourself checked.

Sent from my SM-N975F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cheki ulivyotapika nyongo. Lockdown inawapa Stress sana, si mnataka pesa za Bure bure za Corona lazma ziwatokee puani huku wananchi mkikabiliwa na msongo wa mawazo + maisha duni.
 
Dunia nzima inajua nyinyi mna viherehere. Kwani huwezi fanya jambo lako mpaka ujilinganishe na southern neighbors, subiri utajua giant ni nani.

Huyo giant aendelee kulala, tunaomba mwaka huu muendelee kuchagua CCM ili tuendelee kuwakalia kiuchumi, kielimu na kwa kila kitu kingine.....hehehe
 
ni CCM hii hii ndio itatumika.

endeleeni kutukalia,mkijw shtuka mmekali kwa juu mnakatika,hamna uchumi wala economy.
 
Inauma but itabidi uzoee. CCM ni mafala hawawezi pita Kenya
imagine uko kenya na unaumia na CCM,nani fala hapo[emoji38][emoji38][emoji38].

kama unafeel the pinch ya ccm ukiwa kenya,kwanini tusiongeze kifinyo[emoji16][emoji16][emoji16]

wacha tuongeze dozi,mpaka tusikie mbwa zaidi zinalia bweeeee
 
Mzee akiongea unatulia. 1960 Kenya tulikuwa 8 million na nyie mlikuwa 10 million. Yaani gap ya 2 million tu. Lakini baada miaka hamsini baadaye, gap limeongezeka hadi 11 million. Nyie kazi yenu kwa miaka hamsini imekuwa ni kulipuana tu bila hata kupanga uzazi. Cheki hii evidence

View attachment 1513636

View attachment 1513638
Wewe unapiga kelele hapa leo umezaliwa vivohivyo au ulishuka juu ? Au unauhakika gani kama wewe ulivyozaliwa umechua nafasi yako hapa duniani ujaongeza idadi Kwa hasara ? Ujinga mwengine munaomezeshwa na wazungu sio lazima kila wanachosema muwe mawakala mpuuzi mmoja we . Kwa Sisi Tanzania bado sana kuwa wengi maana kuna sehem ukifika mpaka unajiuliza bado nipo Tanzania kweli ?
 
Na bado tumewatandika kwenye Gdp na Gdp per capita na Gni per capita. Hio inaonyesha jinsi nyie ni wazembe. Nchi yetu ni nusu yenu na zaidi ya nusu ni jangwa na bado tunatikisa sakafu huku A.M
Ila hauendi chooni bika TZ ,na Tz inao uwezo wa kuiwekea vikwazo Kenya mpaka ikajua kweli ipo kwenye vikwazo ila sio kenya kuiwekea TZ .sasa iki ndicho tunachokitaka ,nchi kuwa na nguvu halisi sio nguvu ya kupewa kwenye makaratasi .Hivi utaitumiaje GDP na GDP PER CAPITAL kama silaha ya kistratejia kuiadhibu TZ?
 
I think kenyans in this group are making a mistake arguing with this guys . You can win an argument with a clever person but you will never win an argument with a low IQ moron.

Kenyans are approaching this guys like they are clever but if you look at some guys like Justinr you realise we are arguing with morons . We will never win .

Sent from my SM-N975F using JamiiForums mobile app
Exactly mimi niliachana ku argue after kugundua napoteza waka
Ila hauendi chooni bika TZ ,na Tz inao uwezo wa kuiwekea vikwazo Kenya mpaka ikajua kweli ipo kwenye vikwazo ila sio kenya kuiwekea TZ .sasa iki ndicho tunachokitaka ,nchi kuwa na nguvu halisi sio nguvu ya kupewa kwenye makaratasi .Hivi utaitumiaje GDP na GDP PER CAPITAL kama silaha ya kistratejia kuiadhibu TZ?
GDP na GDP PER CAPITA is a standard rule used to measure ,differentiate country's economy. You can become a laughing stock ukianza kutumia pictures ku differentiate a country's economy,what we want is a tangible results and data. Pictures you can easily edit and photoshop. What tz fear nikutoa data to show how supremacy they are compared to kenya.
 
Gas cylinder plant to open October
ippmedia.com/en/news/gas-cylinder-plant-open-october

August 17, 2019
Home

Aug 2019
James Kandoya
Dar es Salaam
News
The Guardian
Gas cylinder plant to open October
TANZANIA’s first gas cylinder manufacturing plant is scheduled to start operations in October and reduce reliance on importation and related costs.
1%20(1).JPG

Ally Awadhi, the founder of energy trading and transportation conglomerate Lake Group said this during the laying of the foundation stone for its construction that all equipment for building the plant had already been purchased.

He told the guest of honour, Coast Regional Commissioner Evarist Ndikilo that locally-manufactured cylinders will increase the use of gas since the containers will be available at cheaper prices.

“All the machines are at the port of Dar es Salaam awaiting some clearing processes,” he said.
Last month, the government appealed to investors in the oil and gas sector to put up gas cylinder manufacturing plants to reduce the cost of importation which hinders the majority of Tanzanians from shifting to the clean energy.

Speaking at the official opening of the sixth LPG summit in Dar es Salaam, Minister for Energy Dr Medard Kalemani said the price of LPG for domestic use is too high for low-income earners and the culprit is the cost of imported cylinders.

A survey conducted by The Guardian showed that a 15kg of LPG (gas and cylinder) retails at 100,000/- to 120,000/- while the 6kg goes for 55,000/- to 60,000/-. But for the refill—gas only—the cost c0mes to 50,000/- and 20,000/- respectively, implying that the cylinder alone gobbles up half the cost for the first gas purchase.

Awadhi said the new manufacturing plant will create new job opportunities and other forms of commerce to the community around its premises and the region as a whole.

“Our programme to establish new plants resonates with the fifth phase government of becoming an industrialized country, also coping with this year’s theme of the Southern Africa Development Cooperation (SADC) summit events,” he specified.
The CEO noted that apart Lake Steel industry slated for the same venue will also help to bolster the country’s economy.

In another development, Awadhi said that Lake Group was in the final stages of establishing a new water pipe plant that will be the first in East and Central Africa.

RC Ndikilo reaffirmed that the government was committed to ensuring a conducive environment for investors.

He said at least 50,000 people have benefitted from job openings in the past three years since the government drive for industries was launched in the region.
Out of these, 20,000 opportunities are direct jobs while 30,000 are indirect, whereas once Lake Group open its two plants, the numbers will sharply increase, he stated.

There are 1192 industrial units and establishments in Coast Region, with 56 being larger industries, 85 being medium and 350 being small industries, while 701 are micro units or home based industries, he elaborated.

RC hinted that the two manufacturing plants will be launched by the President anytime later this year when its installation was over.

Kibaha District Commissioner Assumpta Mshama said there was still plenty of land in the district set aside for investors who wish to establish factories.

“We have set a conducive environment for those wishing to invest in our district. My office in collaboration with RC’s office has set a helpful networking system to eliminate cumbersome processes for investors, ”she added.
 
Tutafanya, tunapanga , useless
 
Back
Top Bottom