Utengenezaji wa Sabuni za Aina Mbalimbali: Fahamu Mahitaji, Mchakato wa Uzalishaji na Masoko

Je, machine za kutengeneza sabuni hapa Tanzania zinapatikana wapi?
 

Mkuu asante sana kwa maelezo. Ni muda mrefu nimekuwa nikijaribu kutengeneza sabuni lakini nashindwa, huwa zinatoka zikiwa ngumu sana na zinachubua mikono au wakati mwengine zinakuwa laini sana, nikitafuta formula za utengenezaji wa sabuni ktk mitandao hazinipi ratio ya kiasi cha mafuta na sabuni, mwishowe nikaamua kuachana na mradi wa kutengeneza sabuni. Lakini kwa maelezo haya nimehamasika na nafikiria kuanzisha tena, nitakutafuta wakti utakapowadia
 
Karibu tutashare knowledge :usa2:
 

Asante sana ndugu umetusaidia wengi .thankx in advance
 
Utengenezaji wa sabuni. Mimi naomba mnipatie ufahamu hasa wa malidhafi zitumikazo kutengeneza sabuni za miche na unga, ili niweze kuanzisha utengenezaji wa sabuni (Homemade soap )
 
Kweli mmetupa elimu ya kutosha kwenye huu utengenezaji wa sabuni,labda kutaka kufahamu zaidi naomba mnielimishe kuhusu malighafi zinazotumika na kiasi gani nitumie ili niweze kutengeneza sabuni ya mche na unga kwa matumizi ya nyumbani.utengenezaji wa ngu ni mdogo sana (Home made soap)
 

THANK YOU wakuu ngoja nilifanyie kazi
 
Habari,

Mimi ni mtengenezaji wa sabuni za gwanji.nahitaji ujuzi zaidi jinsi ya kutengeneza sabuni original na wapi nitaweza kupata raw material zake sabuni hizi ni mfano: kuku, na nyinginezo tofauti na zile zinazo tumika sana katika sehem ambazo hazina maji ya bomba.
 
Mimi nimefurahi sana analysis iliyotolewa humu ndani, nkipata ka milioni 15lazima niinvest huku.
 
Kuna hawa 'Mjasiriamali Kwanza' Entreprise waone, utaweza kuanza biashara ya sabuni hata kwa mtaji wa 100,000/- .
 
Wadau!
Mtu yoyote mwenye uelewa juu ya utengenezaji wa Batiki, dawa za chooni(Sabuni) na mishumaa please naomba anisaidi hatua zake ziko vipi??
Nawasilisha!!

=============================================


 
Hii ingefaa kama itapelekwa kwenye jukwaa la ujasiriamali. Mods, msaada tafadhali.
Mkuu xkamzy ukijibiwa tutafaidika wengi.
Asante kwa kuuliza kwa niaba ya wengine. Barikiwa.
 
Last edited by a moderator:
Hizo kozi zinztangazwa kila siku kwa ada ya sh. 10,000 tu. Ziko sponsoured na mashirika mbalimbali. Sikiliza WAPO FM utawasikia hao jamaa.
 
Hello, kajiandikishe pale country side Motell,
pale Kibaha mail moja, Dr Didasi Lunyungu anafundisha
kuanzia tar 10/10-13/10/2012.
Kujiandikisha elfu 10 tu,anafundisha vitu vingi,nenda utafaidika sana.
 
Hiyo na mimi ninahitaji sana kujifunza hasa sabuni ila mimi ninaishi mwanza kama kuna yeyote anayeweza kunisaidia asisite.
 
Piga simu 0717428105
Kiseke kwangu vipi? Wameweka lami?
 
Kaka habari, vp uluishapata mtu wa kukufundisha kutengeneza sabuni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…