Utengenezaji wa Sabuni za Aina Mbalimbali: Fahamu Mahitaji, Mchakato wa Uzalishaji na Masoko

Utengenezaji wa Sabuni za Aina Mbalimbali: Fahamu Mahitaji, Mchakato wa Uzalishaji na Masoko

Hello

Mimi ni mtengenezaji wa sabuni za maji hapa Dar na nauza kwa jumla na reja reja. Kwa anayehitaji tuwasiliane.

Faida zake:

1. Inaondoa uchafu ulioganda zaidi ya sabuni nyingine za mche na unga
2. Ina harufu nzuri
3. Ina limau ambapo inasaidia kuondoa harufu mbaya za uvundo na nyingine mbaya kama vile harufu ya samaki n.k
4. Unapofulia unatumia sabuni kidogo kwa nguo nyingi
5. Bei nzuri

Asanteni sana. Tuungishane jamani katika ku support ujenzi wa taifa letu. Mbarikiwe.
 
Mimi ni mjasiriamali mdogo wa kutengeneza sabuni za mawingu au magadi za kigoma. Nimetengeneza sabuni nyingi na sasa natafuta soko kwa anayehitaji kwa matumizi ya nyumbani au hata kuuza dukani kwake. Sabuni ni nzuri kwa kuogea, kufulia na kuoshea vyombo. Bei ya rejareja mche mmoja ni shs.2000. Bei ya jumla cartoon miche 20 shs.34,000. Kwa mahitaji tafadhali nipigie No.0767 972010
 
Guys mi ndo kwanza nimemaliza course ya ujasiriamali leo hii so kwa anayetaka kufanya kazi na mm namkaribisha mimi naweza kupata mtaji kirahisi but sina nafasi ya kufanya shughuli hizi na niko serious kuanza production hapa nafanya mchakatso wa kutengeneza machines
 
Jameni hebu tuache utilitiba hii kitu ni lahisi tu na kama kweli jamaa katia nia ni bola apatiwe maelekezo pamoja na onyo ili ajue kuwa vitu anavyofanya vyaweza kumzuru, sio ee hii kitu ya wenyewez? Its the mind which work and not nguvu
 
Mtafute mjasiriamali kwanza. Vinginevyo ni pm mchana nikuuzie formula kila mtu afe na chake.
 
utababua watu ngozi zao uache majaribio na afya za watu kwani wewe ni Mkemia mpk ufundishwe kutengeneza sabuni fanya biashara nyingine mzee!

mnajua mnapocoment wengine tunasoma tupo kwenye folen za strabag tunaonekana vchaaa haswa kama watu wamesimama kwenye daladala weye umekaa den unaangua kcheko.... Hahaha nimeona folen fup kha
 
Naombeni msaada kujua soko la uzalishaji sabuni za Miche,Maji na Dawa za kuuwa wadudu:

1. Mashine za utengezaji zinapakana wapi, bei gani na uwezo wa mashine katika kulazalisha kwa siku
2. Malighali inayotumika ni ipi? wananunua wapi? Be za malighafi?
3. Soko kuu la sabuni: zenye kiwango na zisizo na kiwango ni lipi!
4. Viwanda vya wazalendo na viwanda vya wageni?
5. Ushindani wa soko: je, washindani wa kuu ni wa ngapi?
6. Bei za washindani: Reja reja na jumla kwa aina za sabuni zilizopo
7. Je kuna wazalishaji wa kitanzania wanauza sabuni nje ya nchi?
8. Mitambo ama mashine za kutengeza sabuni zinapatikana wapi? zinaagizwa nje? tsh ngapi ama dola ngapi na ina uwezo gani wa kuzalisha?
9. Aina ya malighafi inayopendwa na watumiaji wa sabuni kwa lika ni ipi?
10. Gharama za msingi za uendeshaji wa mashine au kiwanda kidogo cha sabuni ni zipi?
11. Muundo wa uongozi/uzalishaji wa sabuni ukoje?
12. Kwa Dar es salaam, viwanda vya sabuni viko wapi?
13. Taratibu za kupata viwango: TBS na BAR CODE ukoje? gharama ni kiasi gani? ofisi husika?
14. Aina za sabuni zilizopo sokoni za (miche, maji, dawa)
15. Vifungashio vya sabuni za maji na vya sabuni za vipande vilivyo na kiwango vipatikana wapi? gharama ni tsh ngapi kwa bei ya jumla na reja reja?

Nataguliza shukrani za dhati kwa msaada wenu.
 
Kwa upande wa chemical kama upo Dar nenda Twiga Chemical
 
Tatizo wale jamaa wanawapigisha semina za kutengeneza sabuni bila kujua mtaziuzia wapi, utafiti wa soko ni muhimu sana kabla ya kujua uzalishe au la, sio mtu anapigwa semina leo keaho anaanza kuzalisha kesho kutwa anakuja kuuliza auze wapi.
Wale jamaa wanafanya biashara.
 
Shida yetu wabongo kuwa huwa hatupendi kuingia garama kufanya utafiti kuhusu biashara tunayopenda kufanya, tuko tayari kuingia garama bira utafiti.

Research is the most important part of successfull any business
 
Back
Top Bottom