Utengenezaji wa Sabuni za Aina Mbalimbali: Fahamu Mahitaji, Mchakato wa Uzalishaji na Masoko

Utengenezaji wa Sabuni za Aina Mbalimbali: Fahamu Mahitaji, Mchakato wa Uzalishaji na Masoko

Hahahaha sawa mkuu tuna subiria utupe tena darasa
 
Pia elewa sabuni inatengenezwa na vitu viwili alkal na base, yaani caustic soda na mafuta. maji ni kiunganishi na sodium siligate inakazi zifuatazo
1)inaongeza povu
2)inaongeza ugum wa sabuni
3)inaondoa mwasho wa caustic soda
4)inaongeza nguvu ya kuondoa uchafu

Pia mafuta yanaweza kuwa machafu mf. mawese huwa yana rangi, nilazima yasafishwe, jinsi ya kusafisha Mafuta ya mawese tutajifunza kesho
 
asante hapa nahx kuna kitu kinaanza kuniingia ntajaribu kutaft vfaa njaribu hap vihla vya mahtj madg havt koxa thx mkuu
 
Pia kuna sabuni ya maji, ya kuogea, pamoja na dudu killer, dawa ya kusafishia choo ukihitaji tuwacliane,mtaji wa tsh 20 000 unatosha kutengeneza sabuni ya maji na dawa ya chooni lita 20.
 
huo mchanganyiko hapo Juu una gharama kiasi gani na unaweza to a miche mingapi?
 
huo mchanganyiko hapo Juu una gharama kiasi gani na unaweza to a miche mingapi?

Hiyo ni formula, zidisha mara ishirini kila kimoja iko hivi
-caustic kg2.7=9000.
-mafuta (taro)kg20= 30 000
-rangi 1tea spoon=500
Hapa utapata miche midogo midogo 80 na zaidi na mikubwa mikubwa 40 na zaidi
NB. NILIVYOORODHESHA NDO VXENYE BEI KUBWA ukienda kwa maajenti wanao uza chemical hizi watakujuza bei ya eneo husika ila bei isitofautiane sana na hii
-caustic soda 3000/kg.
-mafuta ya taro1500/kg
hizi ndizo wanaweza kukulalia
 
so niche 40×2500=100,000/=
taro Nikipimo cha aina gani?
haya mafuta ya mawese nitayapata wapi? ya 1500/kg
 
so niche 40×2500=100,000/=
taro Nikipimo cha aina gani?
haya mafuta ya mawese nitayapata wapi? ya 1500/kg

Taro ni mafuta animal original yanauzwa tsh 1500/kg, jaribu kuuliza ,mimi mwenyewe natengeneza sabuni hapa nilipo tunapata ktk maduka ya mawakala wasambazaji wa mali gafi hizo
 
Habari,

Naomba mwenye kujua jinsi ya kutengeneza sabuni ya maji na ya kuoshea vyoo anisaidie ili niweze kujua.
 
Sikiliza au fuatilia semina na vipindi vya mjasiriamali kwanza ltd utapata majibu ya swali lako
 
Habari, naomba mwenye kujua jinsi ya kutengeneza sabuni ya maji na ya kuoshea vyoo anisaidie ili niweze kujua
Wasiliana na mimi nitakufundisha kutengeneza na jinsi ya kufanya biashara yake.
Na mtu mwingine yeyote anayetaka awasiliane na mimi.
Nipo Temeke, Dar es salaam

0659528724
0784082847

Naelekeza kwa vitendo tu.
 
Pia elewa sabuni inatengenezwa na vitu
viwili alkal na base, yaani caustic soda na
mafuta. maji ni kiunganishi na sodium
siligate inakazi zifuatazo
1)inaongeza povu
2)inaongeza ugum wa sabuni 3)inaondoa mwasho wa caustic soda
4)inaongeza nguvu ya kuondoa uchafu Pia mafuta yanaweza kuwa machafu mf.
mawese huwa yana rangi, nilazima
yasafishwe, jinsi ya kusafisha Mafuta ya
mawese tutajifunza mkihitaji.

pia kwa sabuni za maji, dudu kila, dawa za chooni nitakufundisha ukipenda
 
Back
Top Bottom