Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tuwasiliane, Hii inaingiza matumizi ya dawa hatari kidogo,si vizuri kuwa hadharani.
Sabuni sio lazima iwe nyeupe .... Jamaa liongo sana - kuanza tu nimekutana na makosa.
Ipi hatari, fomalin au salfonic acid? Ni mambo ya kawaida - kikubwa ni ni kujua ration na kutumia vyema.
Sabuni sio lazima iwe nyeupe .... Jamaa liongo sana - kuanza tu nimekutana na makosa.
INA cost being gan Kitengeneza sabun kilo 1?
sulphonic acid 1ltr -6000
optical by tina 100gm -3000 sodium carbonate 1kg-3000 sodium sulphate 1kg-3000 soda ash1kg-2000 rangi100gm-1000 perfume 100mls-3000.....Kwa kilo moja mkuu itakucost sana kama umeamua kuingia rasmi kwenye biashara hii wasiliana nami nikupe mafunzo ya vitendo mkuu
Mahitaji:
- Sulphonic acid
- Sodium carbonate
- Perfume
- Soda ash
- Rangi
- Sodium sulphate
- Optical by tina
Jinsi ya kutengeneza:
- Andaa chombo (beseni/pipa) kutegemea na uwingi wa sabuni unayotaka kutengeneza.. Anza kuweka sodium carbonate kilo 1 kisha optical by tina vijiko 10 vya chakula kisha sodium sulphate kilo 1 kisha soda ash kilo 7 koroga kwa dakika 10.
Baada ya hapo weka mchanganyiko mwingine ambao ni sulphonic acid 2 na nusu kisha nausa vijiko 15 vya chakula kisha rangi vijiko vi5 changanya na perfume vijiko 6 vya chakula .
Sabuni ikiwa tayari anika kwenye kivuli....
Imeletwa kwenu na mkurugenzi wa kampuni ya Mjasiriaakili Enterprises.