Apologise lady
JF-Expert Member
- Sep 16, 2013
- 5,979
- 3,105
Ndio wanatengeneza maboksi wapigie wakupe bei
Niliwapigia wakasema wanategeneza vya mifuko ya plastic tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio wanatengeneza maboksi wapigie wakupe bei
Niliwapigia wakasema wanategeneza vya mifuko ya plastic tu.
Google omar packaging then wasiliana nao
Google omar packaging then wasiliana nao
Aisee, nimempata agent wake kanielekeza ofisi yao, nitaenda kuwaona next wk
umefikia wapi na hao jamaa wa vifungashio?
Sikuwepo narudi kesho, nitawatafuta j5.
Safi.kuna machine ya kuzalisha sabuni ya unga. Dola 1500 .Je sihitaji machine kwa njia ya kitabu chako?
Nijuze kwa mtaji Wa laki5 naweza kuzalisha kilo ngapi nipo DarKwa njia yangu hauhitaji kabisa machine
Nakutakia mafanikio mema
Habari
Kutokana na maombi ya wengi na umuhimu wa utengenezaji na matumizi ya sabuni za unga katika maisha ya kila siku ya mwanadamu, nimeona nitoe mafunzo ya jinsi ya utengenezaji wa sabuni za unga.
Kumekuwa na mafunzo mbali mbali yanayokuwa yanatolewa nchi nzima na watu mbalimbali ambao hufundisha utengenezaji wa sabuni za ungaambapo imekuwa ni vigumu kwa wajasiriamali wengi kuanzisha biashara zao kwa kuwa ni list ndefu ya malighafi nyingi wanafundishwa lazinma wazitumie ili kuweza kutengeneza sabuni hizo. Hiyo ni kwa kuwa wanaambiwa hivyo kwa kuwa wasambazaji hao wa malighafi ndio wanaotoa hayo ,afunzo. Hivyo ni faida kwao.
Natoa mafunzo ya jinsi ya kutengeneza sabuni za unga kwa kutumia malighafi tatu tu. Hivyo inakuwezesha kupata faida karibu mara mbili ya gharama ya uzalishaji. Mafunzo haya yanapatikana katika kitabu nilichokiandika kutokana na uzoefu wangu katika biashara hii kwa kuwa nilikuwa naifanya kabla sijaanzishabiashara nyingine ya kutengeneza mkaa wa kisasa. Bei ya kitabu ni sh. 20,000 ambapo nakutumia kitabu katika email kama attachment nae unanitumia pesa kwa mpesa ya namba hii 0758 308193. Ntakuunganisha na wasambazaji wa malighafi, vifungashio, kukupa mbinu za masoko, ntakuunnganisha na mwenye kiwanda cha sabuni za mche ukajifonee na ntakutumia mafunzo mengine free ambayo nimekuwa nikiyatoa kwa miaka kadhaa sasa.
Nipigie tuzungumze.