Biashara2000
JF-Expert Member
- Nov 9, 2013
- 649
- 547
hahahaaaaa kumbe ni we tapeli? wasiokujua wacha watapeliwe!
Kwa kuwa tumetoka kusherehekea xmas na tunaingia mwaka mpya, nakusamehe kwa ulichokiandika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaaaaa kumbe ni we tapeli? wasiokujua wacha watapeliwe!
Somo tafadhari.nshajua hata jick pia soooo simple
mkuu tafadhari ni dm pleaseMkuu, elewa maudhui, kuwa nyeupe ni kung'aa kwa rangi uliyo ichagua, umechagua rangi nyekundu halafu inamadoa meusi au meupe, hiyo sio yeupe(safi) kwani nani hajui zipo sabuni za rangi nyingi? nyeupe, njano,kijani, nk. elewa kinacho maanishwa.
Mkuu naomba uni dm pleaseIpi hatari, fomalin au salfonic acid? Ni mambo ya kawaida - kikubwa ni ni kujua ration na kutumia vyema.
***Ili iitwe sabuni inatakiwa
-Ngumu kuiisha
-Yenye povu jingi
-Nyeupe
VIAMBATA VYA kutengenezea sabuni
1)Mafuta-mawese,mise,wanyana
2)Maji
3)Caustic soda(costiki soda)
VIFAA VYA KUTENGENEZEA
-Ndoo za plastiki lita 20 nne
-Diaba 1
-Mti wa kukorogea
-Mashine ya kukorogea
-Box la kugandishia
-Mhuri wa biashara
-Mzani wa saa
-Vibao vya kukatia
VIFAA VYA USALAMA
-Mask
-Groves
-Gum boots
-Goggles (miwani)
-Overall
-Ndoo ya maji au mchanga
FORMULA
-mafuta lt1+caustic soda grm135+maji mls350+sodium siligate prm100
KUCHANGANYA
pima maji ktk ndoo ya plastic kisa weka caustic soda ktk maji weka kidogokidogo huku ukikoroga mpaka itakapo yeyuka.mchanganyiko huu unaweza kuchemka na kutoa mosh usiogope. acha ipoe kuanzia masaa 8 nazaidi
KUCHANGANYA NA MAFUTA
yeyusha mafuta kwa kuyapasha joto kidogo ambapo unaweza kuyashika, tia sangi na mimina kidogo2 kuchanganya michanganyiko huku ukikoroga. mimina kwenye box la kugandishia acha igande tayari kwa kukata.Pia weka sodium siligate
Pia elewa sabuni inatengenezwa na vitu
viwili alkal na base, yaani caustic soda na
mafuta. maji ni kiunganishi na sodium
siligate inakazi zifuatazo
1)inaongeza povu
2)inaongeza ugum wa sabuni 3)inaondoa mwasho wa caustic soda
4)inaongeza nguvu ya kuondoa uchafu Pia mafuta yanaweza kuwa machafu mf.
mawese huwa yana rangi, nilazima
yasafishwe, jinsi ya kusafisha Mafuta ya
mawese tutajifunza mkihitaji.
pia kwa sabuni za maji, dudu kila, dawa za chooni nitakufundisha ukipenda
Ili iitwe sabuni inatakiwa