Utengenezaji wa Sabuni za Aina Mbalimbali: Fahamu Mahitaji, Mchakato wa Uzalishaji na Masoko

Utengenezaji wa Sabuni za Aina Mbalimbali: Fahamu Mahitaji, Mchakato wa Uzalishaji na Masoko

mkuu formula yk inasema mafuta lita1 + caustic soda grm135 + maji mls 350 + sodium soligate prm100. mkuu hii ndo formula yako.

sasa swali langu icho kipimo cha maji mbn kikubwa sn tofaut na izo grm za caustic na iyo sodium siligate afu tena na ayo mafuta mbn madogo sn maana ayawian kbs izo grm za caustic wala wala ayo maji maana ktk maelezo yk uko juu ulisema mafuta na caustic ndo yanatengeneza sabuni maji ni kiunganish2 ila hapo kwny iyo formula naona maji yamekua mengi kuliko ayo mafuta.

ebu nipi mwongozo mkuu ktk ili
Mafuta lita 1 ni sawa na mls 1,000
Maji amesema ni mls 350
Kwa hiyo si kweli kwamba maji ni mengi kuliko mafuta kwenye fomula yake.
 
Ipi hatari, fomalin au salfonic acid? Ni mambo ya kawaida - kikubwa ni ni kujua ration na kutumia vyema.
Fomalin ni hatari haifai kuwekwa kwenye sabuni, hiyo inawekwa kwenye dawa ya toilet
 
Pia elewa sabuni inatengenezwa na vitu viwili alkal na base, yaani caustic soda na mafuta. maji ni kiunganishi na sodium siligate inakazi zifuatazo
1)inaongeza povu
2)inaongeza ugum wa sabuni
3)inaondoa mwasho wa caustic soda
4)inaongeza nguvu ya kuondoa uchafu

Pia mafuta yanaweza kuwa machafu mf. mawese huwa yana rangi, nilazima yasafishwe, jinsi ya kusafisha Mafuta ya mawese tutajifunza kesho
Vip hakuna mafuta mengine zaidi ya mawese?.maana mawese hayapatikani kwa urahisi
 
Taro ni mafuta animal original yanauzwa tsh 1500/kg, jaribu kuuliza ,mimi mwenyewe natengeneza sabuni hapa nilipo tunapata ktk maduka ya mawakala wasambazaji wa mali gafi hizo
Nasikia ni lazima uwe na ubao wa kutolea hizo sabuni ni kweli?
 
Kamwene!Wakuu mimi natengeneza sabuni za maji na shampoo.Naomba kujua namna ya kupata mashine.Pia nisaidieni namna ya kufanya ili sabuni iwe nzito sana.
 
Habari wana jf..naomba wenye uelewa juu ya utengenezaji wa sabuni za miche wanisaidie kwa kunitajia process ya kwanza hadi ya mwisho maana nataka kutengeneza.Ahsanten
 
hon khan.....Elijah amekuuliza uko wapi?...
Jibu la swali hilo ni muhimu sana kwenye hiyo kazi hasa kama unataka kufanya kwa lengo la biashara.
 
Back
Top Bottom