Habari
Kutokana na maombi ya wengi na umuhimu wa utengenezaji na matumizi ya sabuni za unga katika maisha ya kila siku ya mwanadamu, nimeona nitoe mafunzo ya jinsi ya utengenezaji wa sabuni za unga.
Kumekuwa na mafunzo mbali mbali yanayokuwa yanatolewa nchi nzima na watu mbalimbali ambao hufundisha utengenezaji wa sabuni za ungaambapo imekuwa ni vigumu kwa wajasiriamali wengi kuanzisha biashara zao kwa kuwa ni list ndefu ya malighafi nyingi wanafundishwa lazinma wazitumie ili kuweza kutengeneza sabuni hizo. Hiyo ni kwa kuwa wanaambiwa hivyo kwa kuwa wasambazaji hao wa malighafi ndio wanaotoa hayo ,afunzo. Hivyo ni faida kwao.
Natoa mafunzo ya jinsi ya kutengeneza sabuni za unga kwa kutumia malighafi tatu tu. Hivyo inakuwezesha kupata faida karibu mara mbili ya gharama ya uzalishaji. Mafunzo haya yanapatikana katika kitabu nilichokiandika kutokana na uzoefu wangu katika biashara hii kwa kuwa nilikuwa naifanya kabla sijaanzishabiashara nyingine ya kutengeneza mkaa wa kisasa. Bei ya kitabu ni sh. 20,000 ambapo nakutumia kitabu katika email kama attachment nae unanitumia pesa kwa mpesa ya namba hii 0758 308193. Ntakuunganisha na wasambazaji wa malighafi, vifungashio, kukupa mbinu za masoko, ntakuunnganisha na mwenye kiwanda cha sabuni za mche ukajifonee na ntakutumia mafunzo mengine free ambayo nimekuwa nikiyatoa kwa miaka kadhaa sasa.
Nipigie tuzungumze.