Trayvess Daniel
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 651
- 1,244
Habarini wana jamvi nahitaji kufanya biashara ya utengenezaji wa soseji kwa mkoani na kuwa mfanyabiashara wa jumla na rejareja plus nembo ya kwangu.
nahitaji kujua mahitaji ya msingi na gharama ya uendeshaji plus faida
nahitaji kujua mahitaji ya msingi na gharama ya uendeshaji plus faida