scientist 08
Member
- Aug 8, 2017
- 66
- 40
unga lishe ni unga kwaajili ya chakula ulio na mchanganyiko wa viini lishe vyote muhimu. mara nyingi unga huu hutumiwa kuandalia uji .wakati mwingine utengenezaji wa unga huu huzingatia walengwa walio kusudiwa kuutumia.Hii ni ili kuweka viini lishe vinavyo endana na mtumiaji.
pia unaweza kutengeneza unga lishe kwa matumizi ya jumla ambao unafaa kutumiwa na mtu yeyote. unga huo uwe na mchanganyiko wa nafaka zifuatazo
ulezi 25% karanga25% soya11% mahindi11% mtama5% uwele8% mchele12% na ngano isiyokobolewa17%
hatua za kutengeneza
kwanza ; kaanga soya hadi maganda yatoke
pili; karanga nazo uzikaange mpaka maganda yatoke
tatu; changanya nafaka zote na usage kwa pamoja
Nne; baada ya kusanga anika unga uliosagwa ili kupunguza unyevu kwa lengo la unga usipate fangasi na kuharibika.
tano; hifadhi unga vizuri kwa ajili ya matumiz au weka kwenye vifungashio tayari kwa biashara.
sita; unga uuzwe na kutumika kabla ya tarehe ya mwisho wa kutumiwa
kuhusu utengenezaji wa bidhaa zingine fuatilia thread hii au pata hard copy ya kitabu kinachoelezea hivyo vyote na ukishindwa au ukipatashida wasiliana nasi tupo dar es salaam utafundishwa kwa vitendo mawasiliano 0755533903
pia nakaribisha michango na maswali nia yangu nikwaajili ya sisi vijana kutimiza ndoto zetu