Utengenezaji wa vyungu vya maua

Utengenezaji wa vyungu vya maua

Queen___

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
214
Reaction score
221
Habari Wana JF
Tujifunze utengenezaji wa vyungu vya maua.

MALIGHAFI
1.MCHANGA
2.CEMENT
3.MWIKO WA KUJENGEA
4.UMBO
5.RANGI
6.VANISH (MAHOGAN)

JINSI YA KUTENGENEZA

Changanya MCHANGA 3 + CEMENT 2 weka maji uwe mchanganyiko kama wakupigia plasta.
Tandika Salfeti chini, chota mchanganyiko wako utengeneze chapati ya sentimita 3. Kisha toboa katikati ya hiyo chapati na ujazie udongo mkavu.

Jaza mchanga ndani ya umbo kisha weka umbo juu ya chapati. Anza kuchapia iache ikauke. Ikikauka mimina mchanga toa kiroba.

Chukua rangi nyekundu changanya na cement kisha paka chungu chako vizuri kwa uwiano, ikikauka paka vanish.

TAYARI KWA KUUZA

MAMBO YA KUZINGATIA
-Vanish zipo nyingi ulizia aina ya MAHOGAN
-UMBO- chukua kiroba kama cha unga nenda kwa fundi cherehani apitishie uzi pembeni na pembeni akitengeneza umbo la chungu unachotaka. Baada ya hapo jaza mchanga.
-Biashara hii haihitaji mtaji mkubwa wala fremu. Ni fursa nzuri...

Asante...
-Queen Chagga
 
Asante...hapo kwenye chapati sijaelewa..
 
UNGETUWEKEA PICHA TUONE UNAVYOTENGENEZA INGEKUWA VIZURI MAANA KWA THEORY TU HATUELEWI MKUU

ILA ASANTE KWA SOMO
 
Habari Wana JF
Tujifunze utengenezaji wa vyungu vya maua.

MALIGHAFI
1.MCHANGA
2.CEMENT
3.MWIKO WA KUJENGEA
4.UMBO
5.RANGI
6.VANISH (MAHOGAN)

JINSI YA KUTENGENEZA

Changanya MCHANGA 3 + CEMENT 2 weka maji uwe mchanganyiko kama wakupigia plasta.
Tandika Salfeti chini, chota mchanganyiko wako utengeneze chapati ya sentimita 3. Kisha toboa katikati ya hiyo chapati na ujazie udongo mkavu.

Jaza mchanga ndani ya umbo kisha weka umbo juu ya chapati. Anza kuchapia iache ikauke. Ikikauka mimina mchanga toa kiroba.

Chukua rangi nyekundu changanya na cement kisha paka chungu chako vizuri kwa uwiano, ikikauka paka vanish.

TAYARI KWA KUUZA

MAMBO YA KUZINGATIA
-Vanish zipo nyingi ulizia aina ya MAHOGAN
-UMBO- chukua kiroba kama cha unga nenda kwa fundi cherehani apitishie uzi pembeni na pembeni akitengeneza umbo la chungu unachotaka. Baada ya hapo jaza mchanga.
-Biashara hii haihitaji mtaji mkubwa wala fremu. Ni fursa nzuri...

Asante...
-Queen Chagga
SOKO LAKE LIKOJE NA WADAU WAKUBWA WA HIVI VYUNGU NI WATU GANI. Ahsante kwa somo zuri
 
Hizo vanish zinapatikana wapi? Ungeweka na picha ya
Habari Wana JF
Tujifunze utengenezaji wa vyungu vya maua.

MALIGHAFI
1.MCHANGA
2.CEMENT
3.MWIKO WA KUJENGEA
4.UMBO
5.RANGI
6.VANISH (MAHOGAN)

JINSI YA KUTENGENEZA

Changanya MCHANGA 3 + CEMENT 2 weka maji uwe mchanganyiko kama wakupigia plasta.
Tandika Salfeti chini, chota mchanganyiko wako utengeneze chapati ya sentimita 3. Kisha toboa katikati ya hiyo chapati na ujazie udongo mkavu.

Jaza mchanga ndani ya umbo kisha weka umbo juu ya chapati. Anza kuchapia iache ikauke. Ikikauka mimina mchanga toa kiroba.

Chukua rangi nyekundu changanya na cement kisha paka chungu chako vizuri kwa uwiano, ikikauka paka vanish.

TAYARI KWA KUUZA

MAMBO YA KUZINGATIA
-Vanish zipo nyingi ulizia aina ya MAHOGAN
-UMBO- chukua kiroba kama cha unga nenda kwa fundi cherehani apitishie uzi pembeni na pembeni akitengeneza umbo la chungu unachotaka. Baada ya hapo jaza mchanga.
-Biashara hii haihitaji mtaji mkubwa wala fremu. Ni fursa nzuri...

Asante...
-Queen Chagga

ke tuone mkuu
 
Aina gani ya rangi hutumika kwenye vyungu?
 
Back
Top Bottom