Utengenezaji wa wine ya ndizi na nanasi

Ndizi kwa ajili ya kutengenezea Pombe ni nyingi japo zinazopendwa na watengenezaji ni Ndizi Malaya, Gwantamo na Sukari. Hizi zinasifika kwa kutoa Juice nyingi ( Maji)
 
Sikuiona mapema nilikua natengeneza wine ya ndizi na zabibu kwa ajili ya kunywa mimi mwenyewe na jamaa zangu. Tatizo na shindwa kumbuka vipimo ila kwa vile ninampango wa kutengeneza tena wiki moja au mbili zijazo ntaweka hapa kila kitu
 
Wakuu kuna utofauti wa hamira inayowekwa kwenye wine na ile ya maandazi?
 
Asante sana Mamndenyi
 
Wakuu kuna utofauti wa hamira inayowekwa kwenye wine na ile ya maandazi?
Ile ya chenga ndiyo hutumika pia kwa kutengeneza wine. Ila unabidi kuwa mwangalifu maana inweza kuzalisha alcohol nyingi kuliko wine yeast. Somo ni refu kidogo. Nikjaliwa muda nitakuja kuelezea. Mimi nilisha tengeneza sana.
 
Asante kwa jibu lako na karibu sana kuja kutupa elimu mkuu.
 
Ile ya chenga ndiyo hutumika pia kwa kutengeneza wine. Ila unabidi kuwa mwangalifu maana inweza kuzalisha alcohol nyingi kuliko wine yeast. Somo ni refu kidogo. Nikjaliwa muda nitakuja kuelezea. Mimi nilisha tengeneza sana.
Leta maneno nasubiria nichukue notisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…