Madikizela
JF-Expert Member
- Jul 4, 2009
- 679
- 450
Asalaam Aleikhum waugwana!
Taeadhali naomba msaada mwenye recipe za kutengeneza wine.
Wabillah tawfiq
Taeadhali naomba msaada mwenye recipe za kutengeneza wine.
Wabillah tawfiq
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni kwa kutumia Nanasi
Mahitaji
1. Nanasi moja 2kg
2. Wine yeast 1table spoon
3. Sugar 2kg
4. Citric acid 1/2 teaspoon
5. Egg-white 1
6. Water safi(yaliyochemshwa) 6lts
7. Jerry-can 10 lts
Kutayalisha
Changanya kila kitu kilichopo hapo juu kweneye hilo jerrican na funika na hifadhi sehemu yenye giza na kila siku tikisa jerry can na kufunuua kiasi kuacha gasi itoke na kisha funga tena, baada ya siku 21 chuja na weka kwenye chupa na acha kwz muda wa siku chache na itakuwa tayari kwa kunywa
Nb
Kama ukiacha kwa muda wa miezi 3 itakuwa bora zaidi
Enjoy your quest into home made wine