Naomba kupata majibu ya uhakika kuhusiana na utengenezwaji wa condoms kama nilizo zitaja hapo juu, kwamba zinatengenezwa hapa tanzania au huwa zinanunuliwa kutoka nnje? Na, Hawa PSI Tanzania ni wasambazaji au ni watengenezaji?
Natanguliza shukrani z dhati.