Utengenezwaji wa condoms (salama,dume,familia,lady pepeta,n.k

Utengenezwaji wa condoms (salama,dume,familia,lady pepeta,n.k

frontline7

Member
Joined
Sep 26, 2013
Posts
31
Reaction score
25
Naomba kupata majibu ya uhakika kuhusiana na utengenezwaji wa condoms kama nilizo zitaja hapo juu, kwamba zinatengenezwa hapa tanzania au huwa zinanunuliwa kutoka nnje? Na, Hawa PSI Tanzania ni wasambazaji au ni watengenezaji?

Natanguliza shukrani z dhati.
 
PSI ni asasi ya kimataifa inayojihusia na masuala ya kiafya: maji, malaria, ukimwi, nk. bofya hapa uwafahu zaidi Our Work | PSI
 
Back
Top Bottom