Uterine Fibroids (Myoma): Preventing, Shrinking and Avoiding Surgery

nina imani haba na tiba lishe. wameshanilia zaidi ya laki 3 matokeo bila bila. ukiwarudia wanahamisha magoli tu

Sasa waliokulia pesa yawezekana tiba lishe yao haina ubora tiba lishe inayoondoa uvimbe ni ile tiba lishe yenye stem cell(seli shina)kama hiyo tiba lishe haina seli shina haiwez fanya kaz vizuri
 
Unapatikana wapi
 
Unapatikana wapi
Tafuta iodine supplements ,pia kula chakula chenye iodine kwa wingi. Chakula chochote chenye sukari ya kuongeza pamoja na asali xxx. Sukari ni kama mafuta ya kufanya fibroids zikue zaidi.

Sulution nyingine ni kufunga,Anza taratibu mpaka ufike level ya kula mlo mmoja kwa siku. Uvimbe utakosa nutrients na kupungua taratibu. Mcheki DK Berg YouTube ana amepost videos kadhaa akiongelea jinsi ya kupambana na fibroids.
 
Sijaelewa hapo uliposema hatoweza kuzaa tena.... Nini kitasababisha asizae tena??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…